Leo Niko na mke outing anasema siasa za Tanzania niziache ngumu

Leo Niko na mke outing anasema siasa za Tanzania niziache ngumu

Hongera!, mwake mwake!
Kumbe na wewe umejiunga na team ya Dr. Shika, Prof. Sarungi, Prof. Mbilinyi, Issack Sepeku, Dr. Ntuyabaliwe, Nasoro Malocho, Stephen Sefu, Prof. Msuya, etc, wakipokwenda kusoma huko, wakajibebea!
P
wewe yule wa kwako si alikupiga chini baada ya kupata ajali ya ile bodaboda uliyokuwa ukiendesha kutokea dodoma kuja dar?
 
Siachi kabisa

Anasema simpi time

Wanawake dah 😁🙌🏼🙌🏼

Britanicca
View attachment 3701222
1793338288820.png

Mimi mke wangu kaniambia komaa mpaka kieleweke!
 
Umemsahau na Dr. Binirith Mahenge Mbunge wa zamani wa Makete, RC wa Mikoa kadhaa nchini, nk. Na yeye pia ameoa Mrusi ambaye anaishi naye hapa Bongo.
I wish na mimi ningempata mmoja wa kumalizia naye maisha. Hawa ndugu zangu siyo wa kuwawekea dhamana hata kidogo. Dakika 0 wanakusababishia ugonjwa wa kiharusi.
Huyo Mrusi ana maduka pale hosteli anaesabu mpaka pipi,hii comment imenikumbusha shuleni
 
Habari za Mke wako zinatuhusu nini hapa Jukwaani. Yaani habari za mke wako na wewe chumbani ndio unatuletea sisi tujadili hapa . Kama huna vya kujadili si bora ukae kimya tu kuliko kuandika utafikiri unawashwa washwa .
Duh, wewe tana! Kwa kweli JF sasa ni kokoro...ziko nyakati hata huo mlango wa kuingilia usingeuona achilia mbali kuukaribia.

Nomba nikupe ushauri...kukaa kimya huficha upumbavu. Huu ni ushauri tu...una haki zote za ama kuupokea au kuukataa.
 
Umemsahau na Dr. Binirith Mahenge Mbunge wa zamani wa Makete, RC wa Mikoa kadhaa nchini, nk. Na yeye pia ameoa Mrusi ambaye anaishi naye hapa Bongo.
I wish na mimi ningempata mmoja wa kumalizia naye maisha. Hawa ndugu zangu siyo wa kuwawekea dhamana hata kidogo. Dakika 0 wanakusababishia ugonjwa wa kiharusi.
Kuna Single maza mtulivu huku anatafuta mzee wa kumaliza nae maisha.
 
Back
Top Bottom