Yupi ?Nimesoma darasa moja na binti yake, mke ni point 5 mwenye nywele za kizungu!.
P
Shimi ? au yule wa pili nimemsahau jina, na wa tatu ndio miss tz
Yupi ?Nimesoma darasa moja na binti yake, mke ni point 5 mwenye nywele za kizungu!.
P
SYupi ?
Shimi ? au yule wa pili nimemsahau jina, na wa tatu ndio miss tz
Hauzi mtu mechi! Jana nimemuona nchemba Yuko anashangaa mji 😎Mmmh! Usije ukauza mechi akunyang'anye simu
Yule wako daktari aliyekuwa huku yuko wapi siku hizi 😎Hongera!, mwake mwake!
Kumbe na wewe umejiunga na team ya Dr. Shika, Prof. Sarungi, Prof. Mbilinyi, Issack Sepeku, Dr. Ntuyabaliwe, Nasoro Malocho, Stephen Sefu, Prof. Msuya, etc, wakipokwenda kusoma huko, wakajibebea!
P
rahisi sana kublow cover hapa,kwanza tunapata risiti ya wabongo wenye wake wazungu,then tunatafuta wenye hao wake tipwatipwa 😂😂,then tunarudi kwa britanika,first post yake twitter au jf,let say ni 2008,automatically tunajua huyu ni above 50,,then tunacheki record ya wabongo walioko majuu wenye utu uzima na wenye wake tipwa tipwa,then............😁😂😂Kikubwa usi-blow cover! Ila kwa umakini ulionao tangu awamu ya jembe kutoka chato! Sidhani kama utafanya cover breach ya kizembe.
Kumbe we huwa ni mshikaji. Huwa nikiangalia post zako zilizojaa code na kuogopa kuwa muwazi nahisi utakuwa mwanamke. Samahani sana
Mbona umepata wivu kiasi hiki, are u his ex?Habari za Mke wako zinatuhusu nini hapa Jukwaani. Yaani habari za mke wako na wewe chumbani ndio unatuletea sisi tujadili hapa . Kama huna vya kujadili si bora ukae kimya tu kuliko kuandika utafikiri unawashwa washwa .
Hahaahhaaha Adam alituponza kwa kumsikiliza Hawa, usirudie kosa tafadhali
Haha MwambieMbona umepata wivu kiasi hiki, are u his ex?
Hii nimeiwaza sana kabla hata sijaweka huyu mke ninaye mu mwaka wa 8 sasa 😁rahisi sana kublow cover hapa,kwanza tunapata risiti ya wabongo wenye wake wazungu,then tunatafuta wenye hao wake tipwatipwa 😂😂,then tunarudi kwa britanika,first post yake twitter au jf,let say ni 2008,automatically tunajua huyu ni above 50,,then tunacheki record ya wabongo walioko majuu wenye utu uzima na wenye wake tipwa tipwa,then............😁😂😂
Silimu nikupe Dada yangu mtoto wa Mamkubwa aapenda Blacks🤣Ana rangi ya Mtume from Dubai? Namtaka Sheikh wangu.
Sasa ndie Dr. Mfawidhi wa Mt. Meru hosp. Arusha.Yule wako daktari aliyekuwa huku yuko wapi siku hizi 😎
Haa Kumbe hope milendeleza la Liga 😁Sasa ndie Dr. Mfawidhi wa Mt. Meru hosp. Arusha.
P
kawachezea boya.rahisi sana kublow cover hapa,kwanza tunapata risiti ya wabongo wenye wake wazungu,then tunatafuta wenye hao wake tipwatipwa 😂😂,then tunarudi kwa britanika,first post yake twitter au jf,let say ni 2008,automatically tunajua huyu ni above 50,,then tunacheki record ya wabongo walioko majuu wenye utu uzima na wenye wake tipwa tipwa,then............😁😂😂
Unakojolea pazuri sana, hongera.
Acha kuhangaika na Hilo bwabwa.Mtoto anaweza kuoa Mke?
Utapokelewa.Brit ni ni kutoka bukoba, Sasa huo ushauri sijui kama utapokelewa
😂😂😂😂Hauzi mtu mechi! Jana nimemuona nchemba Yuko anashangaa mji 😎