Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 46,405
- 138,158
Ana rangi ya Mtume from Dubai? Namtaka Sheikh wangu.Hutaki Mwarabu?
Ana rangi ya Mtume from Dubai? Namtaka Sheikh wangu.Hutaki Mwarabu?
Maamaee kishimba wa kishimbaView attachment 3701227 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥
Karibu ofisini tusemezane.Maamaee kishimba wa kishimba
Wanaume wengi huwa tunaangalia zaidi reception. Huko kwingine ni mbwembwe tu. Macho yakishapenda biashara nayo imekwisha.Nasubili ageuke nimuone vizuri.
HahaHongera!, mwake mwake!
Kumbe na wewe umejiunga na team ya Dr. Shika, Prof. Sarungi, Prof. Mbilinyi, Issack Sepeku, Dr. Ntuyabaliwe, Nasoro Malocho, Stephen Sefu, Prof. Msuya, etc, wakipokwenda kusoma huko, wakajibebea!
P
Duuh!Haha
Mbona wewe unawashwa zaidi na habari za Bi Kidude?Habari za Mke wako zinatuhusu nini hapa Jukwaani. Yaani habari za mke wako na wewe chumbani ndio unatuletea sisi tujadili hapa . Kama huna vya kujadili si bora ukae kimya tu kuliko kuandika utafikiri unawashwa washwa .
Pambania nchi achana na malaya mmoja
Huyu hajoa mzungu babaDr. Ntuyabaliwe
basi sawa ila hata huko kuna vijana wako kwa industry ya tourism wamepindua meza kwa kuoa ngoz nyeupe.Sio huko wala
Nimesoma darasa moja na binti yake, mke ni point 5 mwenye nywele za kizungu!.Huyu hajoa mzungu baba
Ameoa kina jamii ya wolden
mkuu Salama?Nimesoma darasa moja na binti yake, mke ni point 5 mwenye nywele za kizungu!.
P
Amenmkuu Salama?
Voice within imeniambia wewe ndio Meya wa Kinondoni sijui ni Lini ila pokea maono yangu.
Shem mkali (shemkali shemkalii) 😁, ila kuwa makini mkuu usije ukanyolewa nywele bado tunakutegemea🫡
Mimi nimekuelewa nilivyotaka kukuelewa hata kama wewe ulilenga kueleweka kivingine....sidhani kama ana changamoto hiyo. Inawezekana kocha kampa maelekezo awe huru uwanjani beki yupo, kiungo yupo, kushambulia yupo...hadi dakika tisini.