cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 29,011
- 79,226
Mbona humu unaandika kidogo sana, siasa unazofanya wapi? 😀
Umemsahau na Dr. Binirith Mahenge Mbunge wa zamani wa Makete, RC wa Mikoa kadhaa nchini, nk. Na yeye pia ameoa Mrusi ambaye anaishi naye hapa Bongo.Hongera!, mwake mwake!
Kumbe na wewe umejiunga na team ya Dr. Shika, Prof. Sarungi, Prof. Mbilinyi, Issack Sepeku, Dr. Ntuyabaliwe, Nasoro Malocho, Stephen Sefu, Prof. Msuya, etc, wakipokwenda kusoma huko, wakajibebea!
P
Dah! Pete kila kidole na 'designer' kucha!
Wamefanana
Nilihisi tu mjadala utaelekea huku ulikoelekea.Umemsahau na Dr. Binirith Mahenge Mbunge wa zamani wa Makete, RC wa Mikoa kadhaa nchini, nk. Na yeye pia ameoa Mrusi ambaye anaishi naye hapa Bongo.
I wish na mimi ningempata mmoja wa kumalizia naye maisha. Hawa ndugu zangu siyo wa kuwawekea dhamana hata kidogo. Dakika 0 wanakusababishia ugonjwa wa kiharusi.
...sidhani kama ana changamoto hiyo. Inawezekana kocha kampa maelekezo awe huru uwanjani beki yupo, kiungo yupo, kushambulia yupo...hadi dakika tisini....cover breach ya kizembe.
Kalamu heshima yako mkuu 🫡Nilihisi tu mjadala utaelekea huku ulikoelekea.
Na nadhani hata mleta mada alijuwa mjadala utajielekeza upande huo zaidi ya maswala yake ya siasa.
Kuhusu maoni yako, hasa hayo ya "ugonjwa wa kiharusi",. Ni kama mzee mmoja aliyeondoka karibuni na kusababisha Eda kwa watu tunaowatambua kuwa waovu sana hapa duniani.
Kamwe siamini kuwa "hawa ndugu zetu" wote wana roho mbaya na kujaa uovu kama mfano wa huyu mmoja wao.
Huko tusiende!, Tuwe na heshima kidogo, mtu akiishamtambulisha mtu ni wife, then maeneo mengine weka heshima!.Hivi hao huwa ni watamu kuliko hawa wetu wa kimatumbi?
ok.🐒
Hutaki Mwarabu?Umemsahau na Dr. Binirith Mahenge Mbunge wa zamani wa Makete, RC wa Mikoa kadhaa nchini, nk. Na yeye pia ameoa Mrusi ambaye anaishi naye hapa Bongo.
I wish na mimi ningempata mmoja wa kumalizia naye maisha. Hawa ndugu zangu siyo wa kuwawekea dhamana hata kidogo. Dakika 0 wanakusababishia ugonjwa wa kiharusi.