Leo nimeaibika sana, roho inauma

Leo nimeaibika sana, roho inauma

Mkuu usije ukawa unatafuta wateja kijanja manake hapo utapata wengi sana
Haujawahi kusikia juu ya forever company products??? Ukiona utapeli unaweza kwenda mwenyewe pale makao makuu (makumbusho-victoria) utakutana na nyomi ya watu wanaofuata bidhaa, mimi nilishawishiwa kuingia kwenye kampuni niliona usanii tu ila nilivyoenda pale nikahabarishwa vizuri na kuona mazingira, nikaingia totally, I am very proud of it , watu wengi wanapona matatizo yao.
 
NI kweli ndo maana wanamuita yesu NI mtoto wa zinaa.
Maana katika hali ya kawaida mwanamke hawezi kubeba mimba bila kufanya mapenzi.
Wayahudi wako sahihi
Wako sahihi Mzee myahudi hakoseagi....hizi bible Na Quran zilijaribu kuikopi Torah Yao Na wakaishia kufeli pakubwa
 
Ungeanza kupiga story bila kuvua nguo mboo ikisimama unavua au unamwambia demu leo romance tu ikitokea imesimama unaungatela
 
Wako sahihi Mzee myahudi hakoseagi....hizi bible Na Quran zilijaribu kuikopi Torah Yao Na wakaishia kufeli pakubwa
unazingua waisilamu ndio walicopy bible we huoni muhammadi kuna vitu ameongeza tu kiufupi qurani ina hadithi za ushetani na majini tu
 
Aisee network haipandi [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Hili tatz liliwah kunitokea my firt girl but nilichogundua sikua najiamn mwanangu mmoja alinishaur tafut dem ambae uko comftbl nae then jarb mambo yakawa fresh mpk mtt alikuw analia hatak tena tatz nilichogundua nilikuwa muoga na kumuogop after tht am so comfortable wid any girl.

Sijawah kutumia dawa aina yoyote ile.
 
Fanya aina ya mazoezi yanaitwa kejel exercise unaweza search YouTube kuona yanafanyikaje haya husaidia kukuza uwezo wa ume kusimama tena kwa muda mrefu.

Kwa namna yeyote ile usitazame pornography/avoid pornography.

Achana na matumizi ya sukari na vitu vyote vyenye sukari sukari.

Pata usingizi wakutosha angalau masaa 8.

Cha mwisho kabisa jarbu kumfollow Dr mmoja twitter handle yake inaitwa @amerix atakusaidia sana kua mwanaume rijali kweli kweli.
Asante kwa kumshaur vzr mwenzetu
 
Mkuu lengo lako kuwadhalilisha wanaume wa Dar siyo!??

Kama siyo, Neno Dar kwenye mada yako lilikiwa na ulazima gani!??? Kuwepo!!
 
Mimi ni kijana wa miaka 25 mkazi wa Dar es Salaam. Kwa muda mrefu sijawa katika mahusiano nikiwa na deal tu na mishe zangu, sasa leo nimepata nafasi ya kula tunda la binti mmoja hivi ambaye amekuja hadi getho.

Lahaula uume umekataa kusimama kabisa mpaka anaondoka yaani aibu sana mimi mtoto wa kiume. Na hii sio mara ya kwanza ishawahi nitokea kama mara mbili. Pia nishawahi kwenda hospital (Regency) nikaandikiwa dawa inaitwa Tradafil ila sijaitumia kuogopa kutosimama bila dawa.

Nisaidieni wanajamii naaibika mimi
Punguza mawazo kijana, huna shida yoyote mwilini na wala hakuna mchawi, potezea mawazo yako wakati uko na mwali, utayatatuwa kwa wakati wake,,,,
 
Mimi nakubali...nawewe unakubali quran ilitupiga kwa kusema yesu hana baba?
Mimi NI muislam wa kuzaliwa
Siwezi kumkana Allah,Wala mtume ,Wala QURAN
Quran NI kitabu changu.
Kiko sahihi [emoji817]
 
Miaka 25 shida itakua mentally zaidi..
Fanya mazoezi ..Kula vizuri ..
Ukipata mdada mwambie aje kulala Hadi asubuhi ili usijipe presha ya kufanya kabla hajaondoka....

Anza kuamini huna tatizo litaondoka
Tiba sahihi kwa 100% hili tatizo liliwahi kunipata nilihangaika sana, doctor mmoja akaniambia ondoa hiyo dhana kichwan kuwa una tatizo, amini hauna zingatia mazoezi na ulaji aisee ni miaka 10 sasa nipo powa kabisa
 
Back
Top Bottom