Sheikh23
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 1,175
- 1,934
[emoji830]︎Kula balance diet,usile viepe na vyakula vengne vya kukaanga kwa wingi
[emoji830]︎Kula mboga mboga na matunda kwa wingi
[emoji830]︎Fanya mazoezi mara kwa mara
[emoji830]︎Tumia tangawizi km mbadala wa chai ya rangi,tangawizi unywe ikiwa kali kiasi
[emoji830]︎Usitumie vinywaji vyenye gesi
[emoji830]︎Kapime km una u.t.i sugu au gonjwa lolote la zinaa
[emoji830]︎ Tafuta dawa ya ngiri kunywa
[emoji830]︎Usitumie busta za pharmacy kabla ya kugegeda
[emoji830]︎Tumia asali mbichi,ukiweza changanya na mdalasini wa unga×3 kutwa,au changanya na unga wa habat sauda na asali
[emoji830]︎Tumia muda mwingi ku-socialize,gonga stori na wana,jiweke bize,usiangalie porn wala usipige punyeto
[emoji830]︎Copy life style hiyo within ten-30 days leta mrejesho hapa jukwaani.
Angalizo: siku ya kugegeda usiwe na papara,shemeji akuandae vzuri,muandaane; ili usimwage mapema mchombeze kwa stori za kumsifu,na jokes za hapa na pale,hii itakusaidia kumgegeda kwa muda mrefu na hapo ndio utakua mwisho wako wa kuwa na hofu na jogoo kugoma kusimama.