demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,292
- 15,250
Wadau, Wapenzi, Wafuatiliaji wengi wa soka la Tanzania wamekuwa wakisema Kuwa Kila kundi la Watanzania 10 basi 7 ni Mashabiki wa Yanga SC.
Kauli hiyo ilikuwa inanipa wasiwasi sana kuiamini na nilikuwa nina mashaka nayo kwa muda mrefu sana.
Ila leo nimejidhihirisha beyond shaka yeyote kuwa naam Hii klabu inaongoza kupendwa na kufuatiliwa zaidi na wafuasi wa soka kutoka Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati.
Inapendeza sana.
Nawashauri simba wafuate nyayo za yanga ili wafikie level hizi. Wasirudi tena nyuma kwenye enzi za ukabaila.
[emoji23]