Leo nimeamini kuwa Yanga SC ina Mashabiki wengi kuliko timu yoyote Afrika Mashariki

Leo nimeamini kuwa Yanga SC ina Mashabiki wengi kuliko timu yoyote Afrika Mashariki

Mimi sina lengo la kubishana mkuu, ila nimekuletea picha kama jinsi nyinyi mlivyoleta picha za zamani na kuisindika kwa maneno " mashabiki wachache" bila kueleza ni wa tawi gani.View attachment 2273003
[emoji116]
images%20(15).jpg
 
Yanga ni timu ambayo huwa inaitania Simba,

Wakati Simba imekuwa ikiikejeli na kuitukana Yanga

Mashabiki wa Yanga ni WA asili,

Huku wale wa Simba wakiwa ni wale Yanga wa mgawanyiko au wasiokuwa na ule ushabiki kutoka moyoni,

Mfano,
Leo hii mayele akihamia Simba basi Kuna mashabiki wa tahamia huko
Mayele ahamie Simba halafu Manzoki aanzie benchi? Hawezi pata namba,Labda aanzie benchi.SITANII!
 
Back
Top Bottom