Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
MAKOLO kumbe mlitumia Fuso? [emoji23][emoji23][emoji23]Ushamba ni mzigo. Unaweza hisi jamaa wamebeba ubingwa wa Dunia wanavyo pogoma.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MAKOLO kumbe mlitumia Fuso? [emoji23][emoji23][emoji23]Ushamba ni mzigo. Unaweza hisi jamaa wamebeba ubingwa wa Dunia wanavyo pogoma.
[emoji116]Mimi sina lengo la kubishana mkuu, ila nimekuletea picha kama jinsi nyinyi mlivyoleta picha za zamani na kuisindika kwa maneno " mashabiki wachache" bila kueleza ni wa tawi gani.View attachment 2273003
Mayele ahamie Simba halafu Manzoki aanzie benchi? Hawezi pata namba,Labda aanzie benchi.SITANII!Yanga ni timu ambayo huwa inaitania Simba,
Wakati Simba imekuwa ikiikejeli na kuitukana Yanga
Mashabiki wa Yanga ni WA asili,
Huku wale wa Simba wakiwa ni wale Yanga wa mgawanyiko au wasiokuwa na ule ushabiki kutoka moyoni,
Mfano,
Leo hii mayele akihamia Simba basi Kuna mashabiki wa tahamia huko