avogadro
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 8,082
- 14,457
Hizi timu timu ni za kiislam? Hilo ndio kosa la kiufundi ambalo hunifanya nisiwe mshabiki wa hizi timu mbili.Ukiwa na mashabiki ama wanachama wenye imani tofauti ondoa itikadi au ukitumia dini shirikisha viongozi wa dini zote hata kama ni mshabiki mmoja lazima usifanye ibada ukamwengua