Leo nimeamini kuwa Yanga SC ina Mashabiki wengi kuliko timu yoyote Afrika Mashariki

Leo nimeamini kuwa Yanga SC ina Mashabiki wengi kuliko timu yoyote Afrika Mashariki

Hizi timu timu ni za kiislam? Hilo ndio kosa la kiufundi ambalo hunifanya nisiwe mshabiki wa hizi timu mbili.Ukiwa na mashabiki ama wanachama wenye imani tofauti ondoa itikadi au ukitumia dini shirikisha viongozi wa dini zote hata kama ni mshabiki mmoja lazima usifanye ibada ukamwengua
 
FB_IMG_1656242708898.jpg
 
Nisahihi ila ni mazoea yaliyojengeka hivyo
 
Hizi timu timu ni za kiislam? Hilo ndio kosa la kiufundi ambalo hunifanya nisiwe mshabiki wa hizi timu mbili.Ukiwa na mashabiki ama wanachama wenye imani tofauti ondoa itikadi au ukitumia dini shirikisha viongozi wa dini zote hata kama ni mshabiki mmoja lazima usifanye ibada ukamwengua
Hahahha
 
Wewe huwajui WAZARAMO, yeye akisikia sehemu yenye ngoma au shughuli yeye itikadi hana. Hawa wana jezi zote za simba na yanga wakiwa na sherehe simba anavaa ya simba huyo huyo Yanga wakiwa mabingwa wanavaa za Yanga

Wazaramo waache kucheza Ngoma waanze kufuatilia mpira?

Wewe ni wawapi mzew?
 
Ushamba ni mzigo.unaweza hisi jamaa wamebeba ubingwa wa Dunia wanavyo pogoma.

Ushamba ni kudhani kuwa wanashangilia Ubingwa.

Kumbe wanashangilia kulichukua mara ya 28.
 
Wadau, Wapenzi, Wafuatiliaji wengi wa soka la Tanzania wamekuwa wakisema Kuwa Kila kundi la Watanzania 10 basi 7 ni Mashabiki wa Yanga SC.

Kauli hiyo ilikuwa inanipa wasiwasi sana kuiamini na nilikuwa nina mashaka nayo kwa muda mrefu sana.

Ila leo nimejidhihirisha beyond shaka yeyote kuwa naam Hii klabu inaongoza kupendwa na kufuatiliwa zaidi na wafuasi wa soka kutoka Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati.

Inapendeza sana.

View attachment 2272928
View attachment 2272929
View attachment 2272930

Nawashauri simba wafuate nyayo za yanga ili wafikie level hizi. Wasirudi tena nyuma kwenye enzi za ukabaila.
View attachment 2272933

[emoji23]
Uto...wamekaa mguu pande mpaka Sasa.
 
Hawa wenzetu MALI wamewezaje kuwa na kombe zuri? Nafikiri kuwepo na tenda juu ya utengenezaji wa makombe ya ligi kuanzia msimu ujao.View attachment 2273028
Shida sio kombe ila maana ya hilo kombe......hata ukipewa kikombe cha chai fresh tu ilimradi maana yake haijapotea bado....wewe ni bingwa.....na maana ya bingwa ni kwamba kawasira wale wote wa chini yake
 
Back
Top Bottom