Leo nimeamini kuwa Yanga SC ina Mashabiki wengi kuliko timu yoyote Afrika Mashariki

demigod

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
8,292
Reaction score
15,250
Wadau, Wapenzi, Wafuatiliaji wengi wa soka la Tanzania wamekuwa wakisema Kuwa Kila kundi la Watanzania 10 basi 7 ni Mashabiki wa Yanga SC.

Kauli hiyo ilikuwa inanipa wasiwasi sana kuiamini na nilikuwa nina mashaka nayo kwa muda mrefu sana.

Ila leo nimejidhihirisha beyond shaka yeyote kuwa naam Hii klabu inaongoza kupendwa na kufuatiliwa zaidi na wafuasi wa soka kutoka Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati.

Inapendeza sana.





Nawashauri simba wafuate nyayo za yanga ili wafikie level hizi. Wasirudi tena nyuma kwenye enzi za ukabaila.


[emoji23]
 
Yanga ni timu ambayo huwa inaitania Simba,

Wakati Simba imekuwa ikiikejeli na kuitukana Yanga

Mashabiki wa Yanga ni WA asili,

Huku wale wa Simba wakiwa ni wale Yanga wa mgawanyiko au wasiokuwa na ule ushabiki kutoka moyoni,

Mfano,
Leo hii mayele akihamia Simba basi Kuna mashabiki wa tahamia huko
 
Yani shabiki wa yanga ahamie Simba Sc kisa Mayele kahamia Simba Sc??

Labda kama unamaanisha mshangiliaji na sio shabiki, mimi hii leo nihamie Yanga kwakua mchezaji fulani aliyekuwa simba sc kahamia huko?

HEBU TUWE SERIOUS KIDOGO.
 
Mkombe wenyewe mbayaaa sisi hata hatuna shida nao chukueni tu πŸ˜°πŸ˜–πŸ₯ΆπŸ˜±
 
Wewe huwajui WAZARAMO, yeye akisikia sehemu yenye ngoma au shughuli yeye itikadi hana. Hawa wana jezi zote za simba na yanga wakiwa na sherehe simba anavaa ya simba huyo huyo Yanga wakiwa mabingwa wanavaa za Yanga
 
Wewe huwajui WAZARAMO, yeye akisikia sehemu yenye ngoma au shughuli yeye itikadi hana. Hawa wana jezi zote za simba na yanga wakiwa na sherehe simba anavaa ya simba huyo huyo Yanga wakiwa mabingwa wanavaa za Yanga
Acha kuwasingizia wazaramo,kubali ukweli......kwani Mbeya pia Wazaramo wapo?
 
Mkombe wenyewe mbayaaa sisi hata hatuna shida nao chukueni tu πŸ˜°πŸ˜–πŸ₯ΆπŸ˜±
Msimu ujao hamleti timu kwenye Ligi? Maana Hilo ndiyo kombe litagombaniwa tena au tuendelee kuyaishi maneno ya Rage aliyosema........maana yanadhihirika Kwa comment hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…