Hahahahahaa. Tangazo la biashara mchana wa jua kali?Labda alifikiri unafanya tangazo la biashara!! Pole sana. We should help each other.
Natumai wewe hauko ivo
Sent using Jamii Forums mobile app
ni kweli Mzigua90, eneo pekee mnakoshirikiana ni vichambo na umbea.Nilikua natembea barabarani nikakutana na mdada akaniangalia kweli maeneo ya kwenye zipu hadi nikajishtukia alivyonipita nikasema nishike eneo la zipu lahaulaa nikakuta sikua nimefunga zipu. Yule dada alikua tayari punani yangu ionekane lakini sio kuniambia zipu iko wazi niifunge.
Nilishakutana na mkaka na zipu ikawa wazi akanisimamisha akanisalimia akaniambia dada zipu iko wazi nikafunga.
Ila huyu mwanamke mwenzangu sasa akaniacha nijue mwenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Nilikua natembea barabarani nikakutana na mdada akaniangalia kweli maeneo ya kwenye zipu hadi nikajishtukia alivyonipita nikasema nishike eneo la zipu lahaulaa nikakuta sikua nimefunga zipu. Yule dada alikua tayari punani yangu ionekane lakini sio kuniambia zipu iko wazi niifunge.
Nilishakutana na mkaka na zipu ikawa wazi akanisimamisha akanisalimia akaniambia dada zipu iko wazi nikafunga.
Ila huyu mwanamke mwenzangu sasa akaniacha nijue mwenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana dada yangu mpendwa pole[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
New swagga kuacha utamu nje?? Barabarani tena?Umeona eenh...
Usikute alidhani ni new swaga in town.
Usije pita mitaani ukakutana naye siku moja naye ameachia zipu bila kuifunga ili kuvuta attention.
Asante rafiki..ni kweli Mzigua90, eneo pekee mnakoshirikiana ni vichambo na umbea.
pole rafiki
Sent using Jamii Forums mobile app
Unashangaa na hilo??
Mmmmh umevaa suruwali bilaya kuvaa chupi?,au punani yako ilipevya pembeni mwa chupi?Nilikua natembea barabarani nikakutana na mdada akaniangalia kweli maeneo ya kwenye zipu hadi nikajishtukia alivyonipita nikasema nishike eneo la zipu lahaulaa nikakuta sikua nimefunga zipu. Yule dada alikua tayari punani yangu ionekane lakini sio kuniambia zipu iko wazi niifunge.
Nilishakutana na mkaka na zipu ikawa wazi akanisimamisha akanisalimia akaniambia dada zipu iko wazi nikafunga.
Ila huyu mwanamke mwenzangu sasa akaniacha nijue mwenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni ke ?Labda alifikiri unafanya tangazo la biashara!! Pole sana. We should help each other.
Natumai wewe hauko ivo
Sent using Jamii Forums mobile app
All eyes on me kwa jambo la aibu mkuuUnashangaa na hilo??
Ukiacha utamu nje inaleta ile kitu inaitwa "all eyes on me"