Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Nilikua natembea barabarani nikakutana na mdada akaniangalia kweli maeneo ya kwenye zipu hadi nikajishtukia alivyonipita nikasema nishike eneo la zipu lahaulaa nikakuta sikua nimefunga zipu. Yule dada alikua tayari punani yangu ionekane lakini sio kuniambia zipu iko wazi niifunge.
Nilishakutana na mkaka na zipu ikawa wazi akanisimamisha akanisalimia akaniambia dada zipu iko wazi nikafunga.
Ila huyu mwanamke mwenzangu sasa akaniacha nijue mwenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app