Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Yani ukute bahati yenyewe ungekuwa wewe sasa. Ningeifunga hiyo zipu usingerudia tena kujisahau kuiacha waziUmetamani hiyo bahati ingekukuta eeh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani ukute bahati yenyewe ungekuwa wewe sasa. Ningeifunga hiyo zipu usingerudia tena kujisahau kuiacha waziUmetamani hiyo bahati ingekukuta eeh
Mara mbili tuu
Nikajua LodgeOfisini wapi kwingine unahisi?
Ulitakiwa kumdhania vizuri mwenzio vizuri. Unaweza kuhisi kama alikuona kumbe kiukweli hakikuona.Nilikua natembea barabarani nikakutana na mdada akaniangalia kweli maeneo ya kwenye zipu hadi nikajishtukia alivyonipita nikasema nishike eneo la zipu lahaulaa nikakuta sikua nimefunga zipu. Yule dada alikua tayari punani yangu ionekane lakini sio kuniambia zipu iko wazi niifunge.
Nilishakutana na mkaka na zipu ikawa wazi akanisimamisha akanisalimia akaniambia dada zipu iko wazi nikafunga.
Ila huyu mwanamke mwenzangu sasa akaniacha nijue mwenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pia yawezekana alihisi mdau anamzingua.Asante mkuu.. labda alimaanisha kweli ukamfunge ukakosa bahati. Kwa jibu hilo inawezekana alifungua makusudi ili umsaidie kufunga