Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Hahhaha wenye roho nzuri wapo
Yaani. Sema leo nimekutana na mmama akanisifia [emoji23] [emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani. Sema leo nimekutana na mmama akanisifia [emoji23] [emoji23]
Babeeeeeee....nakuhaaaaaamm wooooyyooooo[emoji8][emoji8]
Najua...nilikuwa nakusubiri tutoke wote[emoji8]Sema kweli babe mbona mda si mrefu natoka mm [emoji8]
sorry, punani ndio nini?Nilikua natembea barabarani nikakutana na mdada akaniangalia kweli maeneo ya kwenye zipu hadi nikajishtukia alivyonipita nikasema nishike eneo la zipu lahaulaa nikakuta sikua nimefunga zipu. Yule dada alikua tayari punani yangu ionekane lakini sio kuniambia zipu iko wazi niifunge.
Nilishakutana na mkaka na zipu ikawa wazi akanisimamisha akanisalimia akaniambia dada zipu iko wazi nikafunga.
Ila huyu mwanamke mwenzangu sasa akaniacha nijue mwenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapo kweli hata humu wapo
Najua...nilikuwa nakusubiri tutoke wote[emoji8]
sijui mimi....lugha tatizo!!Daktrari hujui kweli??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]si unajua majanga ya humu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]🤸🤸🤸🤸 mfyuuuuu
sawa ngoja niendelee kukua kua [emoji4][emoji4]Polee.. ukikua utajus
Miaka michache nyuma kulikuwa na bia zinaitwa Miller, zilikuwa tamu sana nikiona jina lako nazikumbukasijui mimi....lugha tatizo!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hilo neno mzinga jamaniDuh! Pole sana mtu wangu....ila pia shukuru alivyokuangalia maana pengine usingejishtukia ungeenda hivyohivyo mzinga una barizi!