Leo Nimeamini Kweli Wanawake Hatupendani

Mtuno ulikua wa kweli sasa!! Maana ikiwa wazi halafu ule mtuno unaonekanaga juu ya suruali haujavimba vizuri ujue watu hawakufaidi maumbile yako..
 
Ulitakiwa kumdhania vizuri mwenzio vizuri. Unaweza kuhisi kama alikuona kumbe kiukweli hakikuona.

Inawezekana alizingatia hali ya mazingira kama endapo angekwambia angekufedhehesha,yaani ungejisikia vibaya kutokana na mazingira uliyokutana nayo.

Haya ulitakiwa uyaangalie kabla ya kuleta mada huku jf !
 
Asante mkuu.. labda alimaanisha kweli ukamfunge ukakosa bahati. Kwa jibu hilo inawezekana alifungua makusudi ili umsaidie kufunga
Pia yawezekana alihisi mdau anamzingua.
 
Kiukweli ndio iko hivyo, wanawake hampendani, mada nyingi zinapostiwa humu:
Kwenye gari mnamuona mwenzenu mjamzito lakini mnangoja apewe msaada na mwanaume
Kwenye matembezi mnamuona mwenzenu yuko uchi kabisa kutokana na kisketi kifupi alichovaa mnamwacha
Kwenye kumbi mbali mbali ndio usiseme kabisa.
Binafsi kuna siku nilikwenda Uhamiaji pale, wakati nasubiria wafungue kuna mdada ambae ni askari uhamiaji, alipita njiani nikamsimamisha. Nikamsalimia akaitikia, then nikamwambia dada nina shida, akaniambia niambie shida yako. Hapo ndipo nikamwambia dada samahani hujafunga flaizi. Alinishukuru sana na kuniambia alikuwa na wanawake wenziwe ofisini inamaana hawakumuona, aliondoka pale njia nzima anacheka na kunitazama mara kwa mara.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…