Leo Nimeamini Kweli Wanawake Hatupendani

Inaonekana una experience ya kuacha zipu yako wazi, kwanza mkaka pili mdada. Kuwa makini na punani yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Competitors hawajawahi kupendana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua kutokana na hizi staili zenu za kuacha miili wazi inawekana akahisi ndio swaga za town na yeye akaogopa kukushtua asionekane mshamba. Mi kuna siku nimeona mdada suruali yake imetatuka maeneo ya mstari wa ikweta nikakausha tu nikawaza labda fasheni tu
 
Wanawake mnapenda ila kinafiki sana.
Hii ilimkuta mrembo mmoja ila yeye kwenye nyonyo yeye bila kujua kama titi linaonekana. Nilipomuona nikavutiwa nikasema naye nikachukua namba.
Baadae nikamtongoza tukawa wapenzi.
Siku moja nilipomkumbusha aliniambia kama haya haya ya leo.

Alikutana na wanawake wengi ila hawakumjulisha.
Aliwaza siku ile kama niliiona nikamwambia kati ya vitu vilinivutia ni ile.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…