miminimkulimaakachekasana
JF-Expert Member
- May 29, 2017
- 3,263
- 4,730
Ilinibidi nigoogle
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilikua natembea barabarani nikakutana na mdada akaniangalia kweli maeneo ya kwenye zipu hadi nikajishtukia alivyonipita nikasema nishike eneo la zipu lahaulaa nikakuta sikua nimefunga zipu. Yule dada alikua tayari punani yangu ionekane lakini sio kuniambia zipu iko wazi niifunge.
Nilishakutana na mkaka na zipu ikawa wazi akanisimamisha akanisalimia akaniambia dada zipu iko wazi nikafunga.
Ila huyu mwanamke mwenzangu sasa akaniacha nijue mwenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani ukaacha mwenzio atembee uchi?Unajua kutokana na hizi staili zenu za kuacha miili wazi inawekana akahisi ndio swaga za town na yeye akaogopa kukushtua asionekane mshamba. Mi kuna siku nimeona mdada suruali yake imetatuka maeneo ya mstari wa ikweta nikakausha tu nikawaza labda fasheni tu
Aliniangalia sana. Yani asingeniangalia kiasi kile nisingehisi kama utamu uko nje..Ila hyo sio indicator ya upendo bwana ukute hata yeye hakuona hata wanaume huwa hawapendani
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukajilia vyako baada ya kuona nyonyoWanawake mnapenda ila kinafiki sana.
Hii ilimkuta mrembo mmoja ila yeye kwenye nyonyo yeye bila kujua kama titi linaonekana. Nilipomuona nikavutiwa nikasema naye nikachukua namba.
Baadae nikamtongoza tukawa wapenzi.
Siku moja nilipomkumbusha aliniambia kama haya haya ya leo.
Alikutana na wanawake wengi ila hawakumjulisha.
Aliwaza siku ile kama niliiona nikamwambia kati ya vitu vilinivutia ni ile.
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi nishukuru na hilo piaushukuru kakuangalia shemela asingekuangalia je?? me usinipe jibu bhana
Hahahaaa.. hata wewe unataka kapicha??Hii thread bila kapicha ni kutuonea aise Mzigua90 [emoji23]
Mi kuna mdada shati nilikaaga vibaya nikamwambia nakumtengeneza alinishushuaje mpaka nikakoma kiherehere, Mimi mwenyewe nikitembeaga suruali ikifunguka wanaume ndo huniambia Dada funga surualiAliniangalia sana. Yani asingeniangalia kiasi kile nisingehisi kama utamu uko nje..
Sent using Jamii Forums mobile app
Wasalimie unakoendaHahaha hapana mimi nilikuwa napita tu [emoji125]
Hata sijui ilikuaje ikabaki waziEthiiii kwanini hufungi dhipuu!
Labda alikuwa anakuonea aibu kukwambia. Hivyo akakwambia kwa macho.[emoji85] [emoji85] [emoji85]