tamuuuuu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 21,329
- 28,063
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utakua ni wewe maana unamtetea huyoWaweza kuta alivyoangalia akachukia bila kujua ni bahati mbaya hukufanya kusudi.
Mbona na wewe ulileta kauzi humu kumsema mwanamke mwenzio,[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16],Nilikua natembea barabarani nikakutana na mdada akaniangalia kweli maeneo ya kwenye zipu hadi nikajishtukia alivyonipita nikasema nishike eneo la zipu lahaulaa nikakuta sikua nimefunga zipu. Yule dada alikua tayari punani yangu ionekane lakini sio kuniambia zipu iko wazi niifunge.
Nilishakutana na mkaka na zipu ikawa wazi akanisimamisha akanisalimia akaniambia dada zipu iko wazi nikafunga.
Ila huyu mwanamke mwenzangu sasa akaniacha nijue mwenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu niambie ni mitaa gani hiyo ukute ni mimi kweli[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Umekutana na mdada .....ukashituka...ukagundua zipo haijafungwa.Nilikua natembea barabarani nikakutana na mdada akaniangalia kweli maeneo ya kwenye zipu hadi nikajishtukia alivyonipita nikasema nishike eneo la zipu lahaulaa nikakuta sikua nimefunga zipu. Yule dada alikua tayari punani yangu ionekane lakini sio kuniambia zipu iko wazi niifunge.
Nilishakutana na mkaka na zipu ikawa wazi akanisimamisha akanisalimia akaniambia dada zipu iko wazi nikafunga.
Ila huyu mwanamke mwenzangu sasa akaniacha nijue mwenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Like charge repel each other ,unlike charge attract each otherNilikua natembea barabarani nikakutana na mdada akaniangalia kweli maeneo ya kwenye zipu hadi nikajishtukia alivyonipita nikasema nishike eneo la zipu lahaulaa nikakuta sikua nimefunga zipu. Yule dada alikua tayari punani yangu ionekane lakini sio kuniambia zipu iko wazi niifunge.
Nilishakutana na mkaka na zipu ikawa wazi akanisimamisha akanisalimia akaniambia dada zipu iko wazi nikafunga.
Ila huyu mwanamke mwenzangu sasa akaniacha nijue mwenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani kusema ukweli ndo chuki? Na yeye nilimwambia alichofanya.Mbona na wewe ulileta kauzi humu kumsema mwanamke mwenzio,[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16],
Sent using Jamii Forums mobile app
Mitaa ya Tangibovu...Hebu niambie ni mitaa gani hiyo ukute ni mimi kweli[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ingekuwa mimi ningekuwasha na kakofi kidogo[emoji12]
Mkaka ni siku ingine sio leo.Umekutana na mdada .....ukashituka...ukagundua zipo haijafungwa.
Mkaka akakwambia zipo iko wazi.
Dah....sijaelewa happy.