Leo Nimeamini Kweli Wanawake Hatupendani

Nilikua natembea barabarani nikakutana na mdada akaniangalia kweli maeneo ya kwenye zipu hadi nikajishtukia alivyonipita nikasema nishike eneo la zipu lahaulaa nikakuta sikua nimefunga zipu. Yule dada alikua tayari punani yangu ionekane lakini sio kuniambia zipu iko wazi niifunge.
Nilishakutana na mkaka na zipu ikawa wazi akanisimamisha akanisalimia akaniambia dada zipu iko wazi nikafunga.
Ila huyu mwanamke mwenzangu sasa akaniacha nijue mwenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
zipuu mzigua bwana nilishadindisha hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mmoja alitoka sidiria juu ya blouse

Nikamvuta nikamuuliza bibie kwema!
Ndo anajitizama haamini kama amekatisha mitaa hakuna aliyemshtua

Ila Wengine wanaogopa response anaweza akajibiwa shombo,
Ndo maana Wengine hukaa kimya

[emoji252] [emoji479]
Anaejibu sshombo kwa kusaidiwa kujisitiri ni mjinga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana punani yako kuchurupuka kuonekana.
Niliona moja yan pichu ilee nkamsimamisha ili nimtaarifu akanisonya huku anaenda nkamwambia kwa sauti zipu iko wazi, kupeleka mkono akashtuka na kuifunga na kunigeukia, kuniona akarudi kushukuru na kuomba msamaha, eti alijua ni wale wanaume wanaosumbua wanawake hovyo.

Aibu yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilikua natembea barabarani nikakutana na mdada akaniangalia kweli maeneo ya kwenye zipu hadi nikajishtukia alivyonipita nikasema nishike eneo la zipu lahaulaa nikakuta sikua nimefunga zipu. Yule dada alikua tayari punani yangu ionekane lakini sio kuniambia zipu iko wazi niifunge.
Nilishakutana na mkaka na zipu ikawa wazi akanisimamisha akanisalimia akaniambia dada zipu iko wazi nikafunga.
Ila huyu mwanamke mwenzangu sasa akaniacha nijue mwenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Code hio kakupa, kwa kukiangalia alijua utabutuka uifunge

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilikua natembea barabarani nikakutana na mdada akaniangalia kweli maeneo ya kwenye zipu hadi nikajishtukia alivyonipita nikasema nishike eneo la zipu lahaulaa nikakuta sikua nimefunga zipu. Yule dada alikua tayari punani yangu ionekane lakini sio kuniambia zipu iko wazi niifunge.
Nilishakutana na mkaka na zipu ikawa wazi akanisimamisha akanisalimia akaniambia dada zipu iko wazi nikafunga.
Ila huyu mwanamke mwenzangu sasa akaniacha nijue mwenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Pocbl huyo dada ni bubu.Akaona mlolongo wa matumizi ya ishara utakuwa jau.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nishawahi kwenda na mswaki hadi class, yaani ile namaliza kuswaki nikauweka mfukoni nikajisahau nikaondoka upo mfuko wa suruali umetokeza nje.
Sasa chizi mmoja class akawa anaongea 'maisha magumu hadi mtu anakuja na mswaki darasani' kujicheki mswaki unachungulia nje ya mfuko!
 
Nilikua natembea barabarani nikakutana na mdada akaniangalia kweli maeneo ya kwenye zipu hadi nikajishtukia alivyonipita nikasema nishike eneo la zipu lahaulaa nikakuta sikua nimefunga zipu. Yule dada alikua tayari punani yangu ionekane lakini sio kuniambia zipu iko wazi niifunge.
Nilishakutana na mkaka na zipu ikawa wazi akanisimamisha akanisalimia akaniambia dada zipu iko wazi nikafunga.
Ila huyu mwanamke mwenzangu sasa akaniacha nijue mwenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Me ningekupa hi kwanza then ningekuvuta pembeni kisha ningekuomba nikusaidie kitu kwa upoleee halafu ningekufunga taratibuuu!

Then nikakuaga vizuri tu na kukuachia namba yangu kwa huduma zaidi. Hizo zilikuwa point 5 tayari!
 
Nilikua natembea barabarani nikakutana na mdada akaniangalia kweli maeneo ya kwenye zipu hadi nikajishtukia alivyonipita nikasema nishike eneo la zipu lahaulaa nikakuta sikua nimefunga zipu. Yule dada alikua tayari punani yangu ionekane lakini sio kuniambia zipu iko wazi niifunge.
Nilishakutana na mkaka na zipu ikawa wazi akanisimamisha akanisalimia akaniambia dada zipu iko wazi nikafunga.
Ila huyu mwanamke mwenzangu sasa akaniacha nijue mwenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Saa zingine kwa kizazi hiki ni ngumu kujua. Wanawake wenzenu wanashindwa elewa kama ni fashion au mnatangaza bidhaa, anaona anaweza akakwambia kisha ukamshushua.
 
Nilikua natembea barabarani nikakutana na mdada akaniangalia kweli maeneo ya kwenye zipu hadi nikajishtukia alivyonipita nikasema nishike eneo la zipu lahaulaa nikakuta sikua nimefunga zipu. Yule dada alikua tayari punani yangu ionekane lakini sio kuniambia zipu iko wazi niifunge.
Nilishakutana na mkaka na zipu ikawa wazi akanisimamisha akanisalimia akaniambia dada zipu iko wazi nikafunga.
Ila huyu mwanamke mwenzangu sasa akaniacha nijue mwenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Na siku hizi wengi huwa hamvai kufuli inamaana hapo vuzi lilikuwa linachungulia?
 
Nilikua natembea barabarani nikakutana na mdada akaniangalia kweli maeneo ya kwenye zipu hadi nikajishtukia alivyonipita nikasema nishike eneo la zipu lahaulaa nikakuta sikua nimefunga zipu. Yule dada alikua tayari punani yangu ionekane lakini sio kuniambia zipu iko wazi niifunge.
Nilishakutana na mkaka na zipu ikawa wazi akanisimamisha akanisalimia akaniambia dada zipu iko wazi nikafunga.
Ila huyu mwanamke mwenzangu sasa akaniacha nijue mwenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
sema hata mimi binafsi huwa siwaambii jinsia kike kama nguo zao hazijakaa vzr au sehem za mwili wao zinaonekana huwa natazama nakuendelea na mambo yngu mana kuna miaka nyuma nilishawahi kuchambwa hatar kisa tu nimemwambia apandishe nguo vzr maziwa yote yanaonekana .
 
Daah. Poleni sana mlokumbwa na hilo.

Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom