Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
- Thread starter
- #161
HahahahahaaaaMimi nishawahi kwenda na mswaki hadi class, yaani ile namaliza kuswaki nikauweka mfukoni nikajisahau nikaondoka upo mfuko wa suruali umetokeza nje.
Sasa chizi mmoja class akawa anaongea 'maisha magumu hadi mtu anakuja na mswaki darasani' kujicheki mswaki unachungulia nje ya mfuko!
Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app