Leo Nimeamini Kweli Wanawake Hatupendani

Leo Nimeamini Kweli Wanawake Hatupendani

Labda sababu nyinyi mnajuana sana kuliko tuwajuavyo sisi..

Usikite huyo dada uliyekutana nae ni muuza costant K, akajua nawe upo kwenye biashara matangazo.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nilikua natembea barabarani nikakutana na mdada akaniangalia kweli maeneo ya kwenye zipu hadi nikajishtukia alivyonipita nikasema nishike eneo la zipu lahaulaa nikakuta sikua nimefunga zipu. Yule dada alikua tayari punani yangu ionekane lakini sio kuniambia zipu iko wazi niifunge.
Nilishakutana na mkaka na zipu ikawa wazi akanisimamisha akanisalimia akaniambia dada zipu iko wazi nikafunga.
Ila huyu mwanamke mwenzangu sasa akaniacha nijue mwenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Abiria chunga mzgo wako
 
Kuna mmoja alitoka sidiria juu ya blouse

Nikamvuta nikamuuliza bibie kwema!
Ndo anajitizama haamini kama amekatisha mitaa hakuna aliyemshtua


Ila Wengine wanaogopa response anaweza akajibiwa shombo,
Ndo maana Wengine hukaa kimya

[emoji252] [emoji479]
 
Back
Top Bottom