econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 25,522
- 40,795
Marais wa CCM ni halali kutukanwaUkitukana matusi marais wetu unajiona mjanja
USSR
Marais wa CCM ni halali kutukanwaUkitukana matusi marais wetu unajiona mjanja
USSR
Second: "Hili gonjwa limeingia pahala patamu sana"This code is tough to unlock
Awamu za urahisiThis code is tough to unlock
Unaharibu mjadala.Awamu za urahisi
Ingawa nao huu ni msimbo ila unafunguka kirahisi.Awamu za urahisi
Noted mkuuIngawa nao huu ni msimbo ila unafunguka kirahisi.
elezeni ! 😳The most easiest of all.
Alimpa ubalozi mume wake akaopoa pisiSecond: "Hili gonjwa limeingia patamu sana"
Alisikika akiwahasa wanakijiji wenzie huku yeye akaenda kuvuta Toto la swahiba yake kule uswahilini Yombo Vituka au Jet Lumo. Toto dogo la skuli ya upili.
Kwamba Fifth bangi magunia kwa magunia yalikuwa yanaenda karibu na soko la samaki 😅😅Tusiogope kupata kitu
Kuna watoto
First born yeye ilikuwa sigara na safari larger
Second born horizontal engineering
Third born ilikuwa Kilimanjaro larger
Fourth yeye music Kwenda mbele na totozi
Fifth yeye alipiga sana HEMP yaan mmea kila siku juana mdomoni
Sixth , K vant mwanzo Mwisho
View attachment 3645477
Britanicca
HakikaKwamba Fifth bangi magunia kwa magunia yalikuwa yanaenda karibu na soko la samaki 😅😅
Vipi huyo third hiyo Kilimanjaro alikuwa hashushii na nyama choma?
Huyo First born kwa hiyo majirani zao Waikinzu wengi wanavuta singara nyota au?
Sana namba mojaKwenu wanywaji, hivi mwanamke anaweza kunywa chupa zima ya K vant au Konyagi?
Hayo ma k vant huwa siyapendiKwenu wanywaji, hivi mwanamke anaweza kunywa chupa zima ya K vant au Konyagi?
Second born na fourth born ilitakiwa wawe mapachaTusiogope kupata kitu
Kuna watoto
First born yeye ilikuwa sigara na safari larger
Second born horizontal engineering
Third born ilikuwa Kilimanjaro larger
Fourth yeye music Kwenda mbele na totozi
Fifth yeye alipiga sana HEMP yaan mmea kila siku juana mdomoni
Sixth , K vant mwanzo Mwisho
View attachment 3645477
Britanicca
Akitukanwa Rais unaumia unamkingia kifua as if mama ako...we saiv umemtukana mwenzako hapo umesikia RAHA?Mjinga mmoja wewe kwani wewe raia wa wapi
USSR