Leo nimeanza siku yangu na balaa

Kama ulimkuta alikuwa sahihi maana unasema ulikuta wateja wengine washafika eneo la bank so obvious uliowakuta wakisubiri mlango ufunguliwe walipaswa kukutangulia.

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
Huyo mdada atakuwa hajapata kitu cha fasta asubuhi a.k.a amka na BBC

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
Huwa inasaidia?

Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app
 
Ndio hivyo bwana wakati mwingine ni bora tu kubakia kama ilivyo ID yako kuepusha shari
 
Kuna nafasi za kazi uandishi Ijumaa,KIU,Sani nicheki maana unaonekana umebobea ktk fani
 
Kuna nafasi za kazi uandishi Ijumaa,KIU,Sani nicheki maana unaonekana umebobea ktk fani
Sifa za mwombaji ni zipi? mshahara ni shilingi ngapi? mwisho wa maombi ni lini? maombi yatumwe kwa nani na kwa njia ipi? Kazi na majukumu yangu ni yapi? hahahahah
 
Nilivyosoma heading Nikadhani umeanza siku zako zile wachezaji wa simba wanazofanyaga mazoezi
Mkuu samahan lakin,juz watu walikua wanajadili wanahis wew ndio bikira wa kisukuma,je una taarifa hiz,wakawa wanaskilizia kama utakua active hum
 
Kabla hajafanya hivo atajishtukia tu yuko chini, kafikaje fikaje hamna atakaejua mana kitakua kitendo cha kasi sana
wanaocheza "kyokushin" watanielewa
hahahahaahahaha, askari wanaolinda benki wangefanya yao!
 
Kiongozi hizo takwimu wewe umezitoa wapi? au hiyo ni kwaa mjibu wa maccm!!!
 
hicho ulichokifanya ndiyo unaitwa ukomavu wa fikra na umeonyesha uvumilivu ambao wengi wetu hatuna, hongera sana kwako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…