you deserve it.Ahsante kwa kunisifia
Mie mwenzio ni mwoga kweli kupigana! naogopa kupigwahahaha wale walinzi wanaosinzia wangeniweka korokoroni masaa kadhaa kuna siku niliwahi kulianznisha upuuzi huohuo wa crdb na mifoleni na network halafu nimesimama masaa 5 kisha nafika mbele teller ananiambia kitambulisho hakitambuliki wakati ni cha kazi na ndio mshahara nilienda kuchukua hahahaha kisha nilikuwa na hangoner maana ilikuwa jumamosi hakuna aliyeweza kunitoa nje si askari wala wahudumu mpaka walinihudumia swain kwana hakuna viti pili network ilikata yaani saa 2 mpaka 6 halafu teller ananirudisha nyuma hahaha siku moja nilikutana naye mitaani akaniuliza eti mwanamke ninakuwaje mbabe namna ile ?/
nikacheka tu na kumwambia hela nihangaike kuipata kisha huku mabenk mnajifanya miungu watu kutuhangaisha na nyodo tena crdb wanga kweli...............
back to the topic huyo mwanamke angechezea vitasa nadhani tungetupwa nje wote wawili
MI SINA TOFAUTI NA ASHA NGEDERE NIKO NA HASIRA ZA PAPO KWA HAPO NA SIKUBALI KUSHINDWA KALE KA UKOO KETU SI UNAJUA WAMAMA WALIVYO JEURI?Mie mwenzio ni mwoga kweli kupigana! naogopa kupigwa
vasophe! hahahaahahh huo pia ni ukoo wa mama yangu, hahahahahMI SINA TOFAUTI NA ASHA NGEDERE NIKO NA HASIRA ZA PAPO KWA HAPO NA SIKUBALI KUSHINDWA KALE KA UKOO KETU SI UNAJUA WAMAMA WALIVYO JEURI?
Umesema kweli ndugu Suleiman NzumbeUlifanya la maana kukaa kimya...
Wanawake wengine huwa wanatafuta pa kuanzia shari!!......
Kabisa dada mana unaweza dhani katumwa. [emoji2]Ahsante emmyta, ndio hivyo tunakutana watu wa kila aina
Nisamehe kwa kukuudhi sitarudia tena kukuudhiUshaniudhi... Mada gani unaleta, Nilijua mtu kalazwa saizi
Namshukuru Mungu kwa kunipa woga wa kugombanaUlifanya busara kukaa kimya
Ulifanya jambo jema huenda sasa mngekuwa polisi kwa kesi ya ugomvi.hahahaah, niliamua tu kumuacha, tena dada mwenyewe katoboa pua!
Umesema kweli ndugu Suleiman Nzumbe
Kusamehe ni miongoni mwa sifa kubwa za mwanaume aliyekamilika.Leo sijisikii kuwasalimia, ngoja niende kwenye hicho nilidhamiria kuwashirikisha.
Leo asubuhi muda wa saa 2.28 nilifika eneo la benki ya CRDB Tawi la Nyerere hapa Mwanza. Ilikuwa imebaki kama dakika mbili hivi wafungue milango. Nilikuta baadhi ya wateja wengine wameshafika wanasubiria muda ufike waingie ndani ya Benki kwa ajili ya kupata huduma.
Milango ilivyofunguliwa nikawa wa kwanza kuingia na kwenda moja kwa moja kwenye foleni. Tellers wakati huo walikuwa hawajaanza kuhudumia walikuwa bado wanaweka weka mambo yao sawa.
Hamadi! nikamwona dada mmoja ambaye wakati milango imefunguliwa alienda kaunta (bila shaka alikuwa anaomba kujulishwa salio lake), akaja moja kwa moja akasimama mbele yangu. Nikamuuliza vipi dada mbona unanipita? akajibu kwa shari kubwa, "unasema ninakupita, naona umechanganyikiwa wewe, hivi unajifanya hukumbuki kuwa mimi ndie nimekutangulia kufika hapa kwenye jengo la Benki, wee si umekuja umenikuta hapo nje nasubiri milango ifunguliwe!, mimi na wewe na nani amempita mwenzie?"
Niliamua kukaa kimya sikumjibu, moyoni nikasema huyu dada anataka kunianzishia siku yangu vibaya. Nikamwacha akapita akahudumiwa baadae na mie nikahudumiwa.
Niliamua kukaa tu kimya, hivi ingekuwa ni nyie wenzangu Miss Natafuta, Joseverest na wengineo mngemfanya nini huyu dada ambaye ana onesha wazi kuwa ana kisirani cha asubuhi asubuhi.
Mkuu hizi taarifa nilizipata na niliandika uzi wa kuelezea kwamba mimi siye Seth.Mkuu samahan lakin,juz watu walikua wanajadili wanahis wew ndio bikira wa kisukuma,je una taarifa hiz,wakawa wanaskilizia kama utakua active hum
Hahaha Chiki nilitaka kukuletea Nepi za kikubwa hahahahahahah ila wewe naye hapana niko fresh kabisa, mkavuuuuu hahahahah