mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 2,472
- 9,542
Kama mbwai na iwe mbwai . Imagine mtu nimepaki mkoko kwenye parking lot ya fremu ya biashara niliyolipia mwenyewe kitaa, Tena ndani ndani afu mtu na reflector yake ya kijani inakuja kuscan chuma ili iniandikie deni !???.
Pumbafu kabisaa ..sisi tulimtuma maza akope hayo mamikopo ? Kwa hiyo mnampango wakuanza kutufata mpaka majumbani kutudai parking fees si ndio??
Leo lazima akakandwe na mademu zake , nimekunjua mikono kama usyk , nimempa jab na uppercuts zakutosha...
Najua watakuja na POLISI ila uzuri Leo saa tano kasoro nageuza zangu na KLM kurudi duniani ,atakutana na vumbi tu , na hii ndio dawa yenu vibaraka..shenzi kabisaa!!