Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,600
ItakuwaLabda na yeye ni mtoto,mtu mzima hawezi kupigana kwa mambo yanayozungumzika!
ItakuwaLabda na yeye ni mtoto,mtu mzima hawezi kupigana kwa mambo yanayozungumzika!
Itakuwa Wana commission maana wako makini ukipak Tu unamuona yuleeee anajisogeza🤓🤓🤓🤓Nazani wanapewa commission wakifika target maana wana vizia hatar
Ungemmegea hata libuku tu mbona sio kesi mzee, kibongobongo ndo tunaishi hivyo.Tulianza vizuri tu,mwanzoni alidai deni langu mkubwa nilipe nikamwambia sikuwa na pesa muda huo , lakini pili haikuwa sehemu anayostahili kutoza ushuru , baadae akadai nimpe buku 2 ya maji ila mim nikamkazia na hapo ndipo sintofahamu ilipoanzia