mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 2,472
- 9,542
Nimesema nimekunjua ngumi , nikasema atakandwa na mademu zake ..sijaelezea Hali yangu ya maumivuUnaziweza ngumi nikuombe pambano mshikaji?
Usimshtue muache azoee ili siku kije kimlambe!Uyo ulie mpga mnyonge ila unge kutana na kichwa kigumu ungerudi kwenu na kilema
Hakuna kaka , ilikuwa tit-4-tat , jamaa aliniona chikonda akajua atajichukulia maujikoAisee, hamna hata kavideo, tuone za ki sanjidat!
umesahau pia Mimi ni mwehu halafu ni ndama mtoto wa ng'ombeTumeshajua,,,,,
Wewe ni tajiri
Wewe ni tyson
Wewe unaishi duniani
Unasafiri na KLM
Unamiliki ndinga kali !
Haya jipigie makofi !
Tulianza vizuri tu,mwanzoni alidai deni langu mkubwa nilipe nikamwambia sikuwa na pesa muda huo , lakini pili haikuwa sehemu anayostahili kutoza ushuru , baadae akadai nimpe buku 2 ya maji ila mim nikamkazia na hapo ndipo sintofahamu ilipoanziaUlimueleleza hamkuelewana mpaka mkatwangana makonde??
Af mtu mzima ana jisifu kupigana utoto uhoUsimshtue muache azoee ili siku kije kimlambe!
Next time mtu akikwambia kuhusu buku mbili muelewe kuwa yupo kwenye survival mode. Usimjaji au kumhukumu kwa makosa ya mfumo ambayo yeye hayamhusu.Tulianza vizuri tu,mwanzoni alidai deni langu mkubwa nilipe nikamwambia sikuwa na pesa muda huo , lakini pili haikuwa sehemu anayostahili kutoza ushuru , baadae akadai nimpe buku 2 ya maji ila mim nikamkazia na hapo ndipo sintofahamu ilipoanzia
Nangojea jawabuNext time mtu akikwambia kuhusu buku mbili muelewe kuwa yupo kwenye survival mode. Usimjaji au kumhukumu kwa makosa ya mfumo ambayo yeye hayamhusu.
Usituangushe tena. Unakuaje na uhakika wa ndinga Kali na kupanda KLM halafu unafeli kumsaidia binadamu mwenzako buku mbili ya kula?
Labda na yeye ni mtoto,mtu mzima hawezi kupigana kwa mambo yanayozungumzika!Af mtu mzima ana jisifu kupigana utoto uho