Tulianza vizuri tu,mwanzoni alidai deni langu mkubwa nilipe nikamwambia sikuwa na pesa muda huo , lakini pili haikuwa sehemu anayostahili kutoza ushuru , baadae akadai nimpe buku 2 ya maji ila mim nikamkazia na hapo ndipo sintofahamu ilipoanzia
Tajiri umemuonea sana katafuta kazi ili mkono uende kinywani huenda anafamilia inamsubiri nyumbani wapate kula. Ungeenda kuwatwanga walioanzisha huu utaratibu au bosi wake.