Leo nimefukuzwa kazi rasmi

Mkuu
Una shida na hakika kazi haujafukuzwa ila una tatizo na unashindwa kuliadress

Tafuta mtu mwenye hekima ongea naye
 
Mkuu
Una shida na hakika kazi haujafukuzwa ila una tatizo na unashindwa kuliadress

Tafuta mtu mwenye hekima ongea naye
 
Kama unahisi umeonewa tafuta wakili au kama ni mwanachama wa chama chochote cha wafanyakazi,nenda karipoti ukiwa na copy ya barua ya kufukuzwa kazi ili mtengeneze mgogo!Ambao mnaenda C.M.A(Commission for mediation and Arbitration).Ambayo ipo kila mkoa,mkishindwana huko mnaenda mahakama kuu,kitengo cha kazi.Ila iwe ndani ya siku 21 kuanzia siku waliyokufukuza.
 
Hapo kwenye mgogo(mgogoro).
 
Ni wazo Zuri but hapo ni kujitolea kumuweka Mke rehani
 
Nilikimbia nchi, maana nilijua sitaweza haya maisha ya mabosi watu weusi kujiona mungu mtu, labda ningeshafugwa jela maana huwa nashindwa kujizuia hasa jitu lina kitambi halafu linakupiga mkwara.
Bro taratibu , sasa kitambi kinahusiana na nini hapo ?

Mimi nimekubali misimamo yako ila sasa umeanza matusi , nitakureport soon kwa moderator [emoji3][emoji3]
 
Kaloge mkuu. Wamakonde nawakubali kwa uchawi.
Baada ya mwezi unarudishwa job.
I come with peace.
 
Mpeni miaka mitatu tu huyo jamaa! Atatusua balaaaa
 
Muandiko wako unaonyesha hujafukuzwa kazi umeamua tu kuleta chai
 

Kama asset ya kuuza ni godoro tu, ni sawa tu kufukuzwa, hukustaho hiyo kazi.
 
Hivyo vitu vya kawaida,
Kibarua, kinapotea Leo, Kodi ya nyumba inaisha mwezi, ujao, wife anachepuka Leo, unapata msiba, genge lako linaungua! Uliyemkopesha pesa, anaingia mitini hapokei cm,
 
Dah! Ndiyo ukubwa huo. Pole sana. 🙁

Na kama ulikuwa hujajiandaa kwa chochote, basi tegemea kupitia kipindi kigumu cha mpito.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…