Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Dah! Ndiyo ukubwa huo. Pole sana. 🙁LEO tarehe 04/10
Mliowai fukuzwa kazi hii inakuaje? sikua na savings, sikujiandaa!! Nasomesha na mke !!
Aisee nilipo hapa nacheka na kulia kwa wakat mmoja!!
Ulishawai pitia hii hali?
View attachment 2772266
Tarehe05/10
Nimeuza Godoro lasmi naelekea kwetu Tandahimba.
Na kama ulikuwa hujajiandaa kwa chochote, basi tegemea kupitia kipindi kigumu sana cha mpito.