Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo ana uhuru na sm yangu ajue nachofanyasijui ila mpaka sasa tuko kwa bed tunajiandaa kuingia round ya tatu
Kwa hiyo yeye anakuangalia tu hapo pembeni unapotuma hii thread😉
siku ukifumuliwa marinda na wewe uje utupe updatesTangu nikiwa kijana nilikuwa napinga sana swala la kutembea na mke wa mtu na nilikuwa naona ni ujinga sana.
Nilishaapa mara nyingi sana mbele ya marafiki zangu kuwa sitokaa nitembee na mke wa mtu hata niwe mhuni kias gan?
Kuna kipindi flan nikiwa bado dam inachemka nilisumbuasumbua mtaani mpk wake za watu wakaanza kujeleta kasi ila nilikuwa nawakata midomo na haikuwa kutokea nikadate na mke wa mtu
Leo yamenikuta mwenzenu....iko hivi..
Jana kuna mtu alinitext instadirect kwenye acc yangu ya biashara ni mdada akinipa cont zake
Nikamfata whatsap nikijua mteja huko akanitumia picha yake nikamkumbuka ni x wangu wa o level bana miaka hiyoooo!! Tukachart akaniambia kaolewa ana watoto wawili na mmewe wanaishi nje ya mji.
Sasa ktk charting za hapa na pale akasema anahitaji tuonane aone ka nimekuwa mbaba maana au bado namwili mdogomdogo
Leo sijatoka nilikuwa najisikia vibaya hivyo biashara kaenda fungua mdogo wangu.
Asubuh tukachart kdg nikamwambia naumwa akauliza napokaa nikamtajia ghafla kimya
Baada ya saa nzima akanipigia kafika nimwelekeze kwangu basi nikamwelekeza akaja nikamfungulia akaingiza gari.
Akadai amekuja kunipa pole ila maongez mengi akawa ni sifa za hapa na pale tunapeana maana na yeye kapendeza ana chura flan amazing na ngozi imekuwa ya mtume sijui ndo dela cream ya ditector Joan
Kwakweli tangu anaingia nimejiapiza moyoni sili mzigo maana ni mke wa mtu ila kilichotokea sijui ila mpaka sasa tuko kwa bed tunajiandaa kuingia round ya tatu
Dah!! Naomba god anisamehe sikupanga
Weka hata ya nguo zake tuu,usiweke sura,weka kuanzia tumbo na mapajaNiweke picha ili uamini?
WekaNiweke picha ili uamini?
Weka hata ya nguo zake tuu,usiweke sura,weka kuanzia tumbo na mapaja
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Dah, mme wa huyo dada yuko hapa hospitali anakohoa kichizi, mimi kama daktari najitahidi kumpa matumaini maana ni balaa. ila hongera kumla mkewe, hainaga ushemeji.
Jiandae.. mla huliwa
Nimejua baada ya kufungua page za biashara zangu social netwk ila ni mtamMzee mzima unajua hadi majina ya cream za wadada umetisha
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Watamu hao balaa,hawana longolongo wala gharama
we mwongo, umepata wapi mda wa kuandika hii thread wakati bado upo kitandan?Tangu nikiwa kijana nilikuwa napinga sana swala la kutembea na mke wa mtu na nilikuwa naona ni ujinga sana.
Nilishaapa mara nyingi sana mbele ya marafiki zangu kuwa sitokaa nitembee na mke wa mtu hata niwe mhuni kias gan?
Kuna kipindi flan nikiwa bado dam inachemka nilisumbuasumbua mtaani mpk wake za watu wakaanza kujeleta kasi ila nilikuwa nawakata midomo na haikuwa kutokea nikadate na mke wa mtu
Leo yamenikuta mwenzenu....iko hivi..
Jana kuna mtu alinitext instadirect kwenye acc yangu ya biashara ni mdada akinipa cont zake
Nikamfata whatsap nikijua mteja huko akanitumia picha yake nikamkumbuka ni x wangu wa o level bana miaka hiyoooo!! Tukachart akaniambia kaolewa ana watoto wawili na mmewe wanaishi nje ya mji.
Sasa ktk charting za hapa na pale akasema anahitaji tuonane aone ka nimekuwa mbaba maana au bado namwili mdogomdogo
Leo sijatoka nilikuwa najisikia vibaya hivyo biashara kaenda fungua mdogo wangu.
Asubuh tukachart kdg nikamwambia naumwa akauliza napokaa nikamtajia ghafla kimya
Baada ya saa nzima akanipigia kafika nimwelekeze kwangu basi nikamwelekeza akaja nikamfungulia akaingiza gari.
Akadai amekuja kunipa pole ila maongez mengi akawa ni sifa za hapa na pale tunapeana maana na yeye kapendeza ana chura flan amazing na ngozi imekuwa ya mtume sijui ndo dela cream ya ditector Joan
Kwakweli tangu anaingia nimejiapiza moyoni sili mzigo maana ni mke wa mtu ila kilichotokea sijui ila mpaka sasa tuko kwa bed tunajiandaa kuingia round ya tatu
Dah!! Naomba god anisamehe sikupanga
Kumbe wewe ukikatalia kifuani hutok masaa 10???we mwongo, umepata wapi mda wa kuandika hii thread wakati bado upo kitandan?