Leo nimegonga mke wa mtu

Leo nimegonga mke wa mtu

sijui ila mpaka sasa tuko kwa bed tunajiandaa kuingia round ya tatu

Kwa hiyo yeye anakuangalia tu hapo pembeni unapotuma hii thread😉
 
Tangu nikiwa kijana nilikuwa napinga sana swala la kutembea na mke wa mtu na nilikuwa naona ni ujinga sana.

Nilishaapa mara nyingi sana mbele ya marafiki zangu kuwa sitokaa nitembee na mke wa mtu hata niwe mhuni kias gan?

Kuna kipindi flan nikiwa bado dam inachemka nilisumbuasumbua mtaani mpk wake za watu wakaanza kujeleta kasi ila nilikuwa nawakata midomo na haikuwa kutokea nikadate na mke wa mtu

Leo yamenikuta mwenzenu....iko hivi..

Jana kuna mtu alinitext instadirect kwenye acc yangu ya biashara ni mdada akinipa cont zake

Nikamfata whatsap nikijua mteja huko akanitumia picha yake nikamkumbuka ni x wangu wa o level bana miaka hiyoooo!! Tukachart akaniambia kaolewa ana watoto wawili na mmewe wanaishi nje ya mji.

Sasa ktk charting za hapa na pale akasema anahitaji tuonane aone ka nimekuwa mbaba maana au bado namwili mdogomdogo

Leo sijatoka nilikuwa najisikia vibaya hivyo biashara kaenda fungua mdogo wangu.

Asubuh tukachart kdg nikamwambia naumwa akauliza napokaa nikamtajia ghafla kimya

Baada ya saa nzima akanipigia kafika nimwelekeze kwangu basi nikamwelekeza akaja nikamfungulia akaingiza gari.

Akadai amekuja kunipa pole ila maongez mengi akawa ni sifa za hapa na pale tunapeana maana na yeye kapendeza ana chura flan amazing na ngozi imekuwa ya mtume sijui ndo dela cream ya ditector Joan

Kwakweli tangu anaingia nimejiapiza moyoni sili mzigo maana ni mke wa mtu ila kilichotokea sijui ila mpaka sasa tuko kwa bed tunajiandaa kuingia round ya tatu

Dah!! Naomba god anisamehe sikupanga
siku ukifumuliwa marinda na wewe uje utupe updates
 
Weka hata ya nguo zake tuu,usiweke sura,weka kuanzia tumbo na mapaja
ATTACH]
 
Attachments

  • 1473069537704.jpg
    1473069537704.jpg
    58.7 KB · Views: 12
Dah, mme wa huyo dada yuko hapa hospitali anakohoa kichizi, mimi kama daktari najitahidi kumpa matumaini maana ni balaa. ila hongera kumla mkewe, hainaga ushemeji.
 
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Mzee mzima unajua hadi majina ya cream za wadada umetisha
 
Huu uongo uliotukuka ndani ya mchezo huo unapata wap mda wa kuandika hv ata kama unapumzika uache kuliwazana ndo uandike
 
Tangu nikiwa kijana nilikuwa napinga sana swala la kutembea na mke wa mtu na nilikuwa naona ni ujinga sana.

Nilishaapa mara nyingi sana mbele ya marafiki zangu kuwa sitokaa nitembee na mke wa mtu hata niwe mhuni kias gan?

Kuna kipindi flan nikiwa bado dam inachemka nilisumbuasumbua mtaani mpk wake za watu wakaanza kujeleta kasi ila nilikuwa nawakata midomo na haikuwa kutokea nikadate na mke wa mtu

Leo yamenikuta mwenzenu....iko hivi..

Jana kuna mtu alinitext instadirect kwenye acc yangu ya biashara ni mdada akinipa cont zake

Nikamfata whatsap nikijua mteja huko akanitumia picha yake nikamkumbuka ni x wangu wa o level bana miaka hiyoooo!! Tukachart akaniambia kaolewa ana watoto wawili na mmewe wanaishi nje ya mji.

Sasa ktk charting za hapa na pale akasema anahitaji tuonane aone ka nimekuwa mbaba maana au bado namwili mdogomdogo

Leo sijatoka nilikuwa najisikia vibaya hivyo biashara kaenda fungua mdogo wangu.

Asubuh tukachart kdg nikamwambia naumwa akauliza napokaa nikamtajia ghafla kimya

Baada ya saa nzima akanipigia kafika nimwelekeze kwangu basi nikamwelekeza akaja nikamfungulia akaingiza gari.

Akadai amekuja kunipa pole ila maongez mengi akawa ni sifa za hapa na pale tunapeana maana na yeye kapendeza ana chura flan amazing na ngozi imekuwa ya mtume sijui ndo dela cream ya ditector Joan

Kwakweli tangu anaingia nimejiapiza moyoni sili mzigo maana ni mke wa mtu ila kilichotokea sijui ila mpaka sasa tuko kwa bed tunajiandaa kuingia round ya tatu

Dah!! Naomba god anisamehe sikupanga
we mwongo, umepata wapi mda wa kuandika hii thread wakati bado upo kitandan?
 
Back
Top Bottom