Leo Nimeidharau Dar es Salaam Sana.

Weka picha tuzione. Maneno tu hayataonyesha the real picture. For example, Atlantis hotel ndio hio eti 5 star.πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Banda la kuku aisee hawa wabongo watatumaliza leo nakichekoπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Mi nawabandikia budget hotels mingi ambazo zikienda dar zitakua 5* kina tune na Concorde hotel alafu wao wanaeka lodging kama Zile za riverroad za kupeleka chips fungaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€Dar jaina kitu kwa nairobi aiseeπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Concorde Hotel Huko ni 10* πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Serena hotel Dar
 

Attachments

  • _20180521_210634.JPG
    19.1 KB · Views: 80
  • _20180521_210653.JPG
    14.9 KB · Views: 67
Ingine hiyo...........angalia pande ya kulia ni slum tupu.πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Ha ha Rising Sun Hotel kuna ndugu yangu anafanya kazi humo ndani. Halafu chini yake kuna Benki ipo KCB kuna jamaa akuwa lindo pia ni rafiki yangu sana sana. Huwa anakuwa ndani kuwaelekeza wateja hapa na pale. Dah nikiona hizo picha nawakumbuka tu ndugu zangu hao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…