Ahsante Collo Mzii. It is a pity Nairobi can beat a coastal city in number of quality hotels.
bro achana na huyu. Tuendelee na thread yetu. Usimpe kiki.jaribu kuleta mombasa nikupe zanzibar sasa hvi uone kama haukukojoa wima leo hapaπππ
alafu swali langu hujajibu
Achana na huyo boya.....mimi huwa simjibu. Namuacha asome ninachoandika akiniquote huku nikicheka ujinga wake.πππLazizi priemere
Kempinsky vilarosa
Radisson blue upperhill
Sankara hotel Westlands
Intecontinental hotel cbd
Leico regency cbd
Crown plaza upperhill
Hemingways karen
Kama una ubishi nenda google ujifanyie reserch alafu uje
Sisi tukiongelea 5* hotel ni 5* hotel sio vibrothel kama Hong Kong. Cheki hii hapa. Inaitwa Windsor HotelNani hajui mmeregister guest house za hapo nairobi
hehehe you have 4 hotels with 5*πππLazizi priemere
Kempinsky vilarosa
Radisson blue upperhill
Sankara hotel Westlands
Intecontinental hotel cbd
Leico regency cbd
Crown plaza upperhill
Hemingways karen
Kama una ubishi nenda google ujifanyie reserch alafu uje
[emoji23][emoji23][emoji23] mule ndani kuna joto balaa kaamua kuja kupunga upepo huku njeacheni nae huyo kakimbia mziki kule kwenye battle kaona mambo magumuπππ
Weka picha moja moja nikupe jibu. Jina ni jina tu. Unaweza andika hong kong hotel kumbe kitu chenyewe kinakaa hivi.ππ4 & 3 stars hotels around Dar es salaamView attachment 783081View attachment 783082View attachment 783083View attachment 783084View attachment 783085View attachment 783086
jibu swali langu nairobi kuna 5* hotels ngapi???Weka picha moja moja nikupe jibu. Jina ni jina tu. Unaweza andika hong kong hotel kumbe kitu chenyewe kinakaa hivi.ππ
hunijibu kwasababu nakupeleka mswaki unajifanya mjuaji alaf hujui kitu heheh eti engineer wakiitwa engineer utaenda wewe ππππAchana na huyo boya.....mimi huwa simjibu. Namuacha asome ninachoandika akiniquote huku nikicheka ujinga wake.πππ
Sasa Hizo sizimekua rated kabisa?? Angalia hiyo HongKong kama IPO hapo kwenye listWeka picha moja moja nikupe jibu. Jina ni jina tu. Unaweza andika hong kong hotel kumbe kitu chenyewe kinakaa hivi.ππ
Lazizi priemere
Kempinsky vilarosa
Radisson blue upperhill
Sankara hotel Westlands
Intecontinental hotel cbd
Leico regency cbd
Crown plaza upperhill
Hemingways karen
Kama una ubishi nenda google ujifanyie reserch alafu uje
acha nae huyo hajui chochote yani katika wapuuzi niliowah kukutana nao huyo yumoπππSasa Hizo sizimekua rated kabisa?? Angalia hiyo HongKong kama IPO hapo kwenye list
Kwa ile thread nyingine si mlipost hiyo mkasema ni star rated ama vipi?Sasa Hizo sizimekua rated kabisa?? Angalia hiyo HongKong kama IPO hapo kwenye list
hehhe nishamdaka muda tu huyo boyaπππHapa nyingine unatuletea 4 star
View attachment 783094
View attachment 783095
View attachment 783096
Intercont,crowne and lazizi are all 4 star uctake kutudanganya
Alivyokuonyesha ungemwambia akuwekee na proof.. Kuweka picha za mahoteli yote ni upotevu wa muda.. Kama huamini ni 4 star iangalie Google uone..Kwa ile thread nyingine si mlipost hiyo mkasema ni star rated ama vipi?
Hahahah......
Kwa hivo unamaanisha hii hong kong hotel ni 4 star?πππAlivyokuonyesha ungemwambia akuwekee na proof.. Kuweka picha za mahoteli yote ni upotevu wa muda.. Kama huamini ni 4 star iangalie Google uone..
achana nae nakwambia huyo punguani tu atakupotezea muda tu dar kwenye hotels sio level yao na hapo hatujagusa zanzibar ***** watakojoa wima hawaAlivyokuonyesha ungemwambia akuwekee na proof.. Kuweka picha za mahoteli yote ni upotevu wa muda.. Kama huamini ni 4 star iangalie Google uone..
[emoji23][emoji23][emoji23] huyu jamaa kweli mchele.. Ngoja nifanye shughuli zanguachana nae nakwambia huyo punguani tu atakupotezea muda tu dar kwenye hotels sio level yao na hapo hatujagusa zanzibar ***** watakojoa wima hawa