Leo Nimeidharau Dar es Salaam Sana.

Leo Nimeidharau Dar es Salaam Sana.

Alivyokuonyesha ungemwambia akuwekee na proof.. Kuweka picha za mahoteli yote ni upotevu wa muda.. Kama huamini ni 4 star iangalie Google uone..
Wacha tuende moja kwa moja. Tuanze na 5*. Najua hizo sio nyingi, weka niweke. Kama hauna utoto kitaeleweka. 5* sio 4*
 
Dar es Salaam 5* hotel ni moja pekee, Kilimanjaro hotel. Prove me wrong niachane na huu uzi kabisa.
 
Dar es Salaam 5* hotel ni moja pekee, Kilimanjaro hotel. Prove me wrong niachane na huu uzi kabisa.

Hyatt regency hio ndo kilimanjaro
Serena hotel
Sea cliff hotel
Ramada resort
Laico Ledger Plaza

IMG_4024.JPG

IMG_4023.JPG
 
Mbona tz kama umewahi tumia JNIA miaka 4 iliyopita hizo 5 star hotel zao zilikuwa zina serve chips mayai. cha kushangaza zaidi kipindi kimoja niliingia 5 star lakini hamkuwa na maji chooni bana nikaletewa na ka bucket.
Haha hio si 5 star. Pengine 0.5 star
 
Dar has 3
Kilimanjaro
Serena
Sea Cliff

Nairobi has
1. Fairmont Norfork
2. Nairobi Serena Hotel
3. Villa Rosa Kempinski
4. Hilton Hotel
5. Sarova Stanley
6. Windsor Hotel
7. Sankara Hotel
8. Hemmingways Hotel
9. Palacina hotel
10. DusitD2 hotel
11. Four points by Sheraton
12. Radisson blu
13. Tribe Hotel
 
Kwa kutumia google ratings kumbuka hotels znakuwa rated na agency mbali mbali hakuna site moja..

Dar has 3
Kilimanjaro
Serena
Sea Cliff

Nairobi has
1. Fairmont Norfork
2. Nairobi Serena Hotel
3. Villa Rosa Kempinski
4. Hilton Hotel
5. Sarova Stanley
6. Windsor Hotel
7. Sankara Hotel
8. Hemmingways Hotel
9. Palacina hotel
10. DusitD2 hotel
11. Four points by Sheraton
12. Radisson blu
13. Tribe Hotel
 
Kama kuna jambo watu wengi humu wamekua wakidhania Dar imeshinda Nairobi ni katika mahoteli. Kila siku tunapigiwa kelele humu jinsi Dar ilivyo na hoteli bora na wengi wetu tuliamini maanake Dar ni mji ulio pwani ilhali Nairobi upo ndani. Lakini leo nimeshangaa kwa ule uzi wa Dar v Nairobi nimeenda moja kwa moja na Annael jamaa kapost picha mbili za star rated hotels Dar na akaishiwa wakati mimi nina list kibao sijapost hadi jamaa akaanza kupost ma guest house na brothels wakati mie nampa 4 star na 5 star hotels. Kweli nimeidharau Dar. Yaani mji upo pwani lakini hoteli hauna?😀😀😀😀
just like Nairobi beats Dar, Zanzibar beats Nairobi while Arusha beats Mombasa.
 
Going strictly by Google, these are the 5 star hotels in both cities.

Dar
1. Hyatt Regency
2. Dar Serena
3. Sea Cliff

Nairobi
1. The Nairobi Safari Club
2. Sarova Stanley
3. Fairmont Norfolk
4. Villa Rosa Kempinski
5. Sankara
6. Nairobi Serena
7. Azure
8. Windsor
9. Laico Regency
10. dusitD2
11. Tribe
12. Palacina
13. Radisson Blue
14. Hemmingways
15. Hilton
16. House of Waine
17. Concord
18. Panari
19. Safari Park Hotel

Case closed.

star1.JPG

star2.JPG
 
Dar has 3
Kilimanjaro
Serena
Sea Cliff

Nairobi has
1. Fairmont Norfork
2. Nairobi Serena Hotel
3. Villa Rosa Kempinski
4. Hilton Hotel
5. Sarova Stanley
6. Windsor Hotel
7. Sankara Hotel
8. Hemmingways Hotel
9. Palacina hotel
10. DusitD2 hotel
11. Four points by Sheraton
12. Radisson blu
13. Tribe Hotel

You beat me to this. Google actually lists 19 Nairobi hotels as 5 star.
And I think many of those listed as 4 star should be 5.
 
just like Nairobi beats Dar, Zanzibar beats Nairobi while Arusha beats Mombasa.
Hahaha! Nairobi mji upo interior unashinda Dar kwenye Coast. You'll be a special kind of an idiot to think Arusha can compete Mombasa in hotels. Hata hiyo Zanzibar nimeanza kuona niushabiki tu. huenda Malindi ikaishinda.
 
Going strictly by Google, these are the 5 star hotels in both cities.

Dar
1. Hyatt Regency
2. Dar Serena
3. Sea Cliff

Nairobi
1. The Nairobi Safari Club
2. Sarova Stanley
3. Fairmont Norfolk
4. Villa Rosa Kempinski
5. Sankara
6. Nairobi Serena
7. Azure
8. Windsor
9. Laico Regency
10. dusitD2
11. Tribe
12. Palacina
13. Radisson Blue
14. Hemmingways
15. Hilton
16. House of Waine
17. Concord
18. Panari
19. Safari Park Hotel

Case closed.

View attachment 783123
View attachment 783124
😱😱😱😱Case closed twende 4* sasa watatujua leo😀😀😀😀
 
Hahaha! Nairobi mji upo interior unashinda Dar kwenye Coast. You'll be a special kind of an idiot to think Arusha can compete Mombasa in hotels. Hata hiyo Zanzibar nimeanza kuona niushabiki tu. huenda Malindi ikaishinda.
Same here ,venye wanalikua wanaisema dar ungesema ni miami kumbe porojo tu😀😀😀
 
Double tree by Hilton
Seacliff
Serena
Hyatt regency
Protea amani beach
Protea courtyard
Ramada resort
Golden tulip
Best western coral beach
Atlantis hotel
Ledger plaza
Hizo hapo zote ni 4 na 5 star
Na bado zipo nying nyingine ukitaka tuendelee

Four point by Sherston (former New Africa)
Holiday Inn
Southern Sun
Ramada encore n Ramada resort
Kunduchi beach hotel
Colloseum
City lodge U/C
Mlimani city hotel U/C
Rotana Hotel (about to be opened)
NSSF Mzizima towers Hotel (U/C)
 
Back
Top Bottom