Leo nimeitwa lishangazi, sijui nifurahie au nisikitike

Mshangazi dot com

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2011
Posts
1,345
Reaction score
3,503
Wadau, kuna kijana amenifuata huko DM na kuniita lishangazi kwasababu amesema nimejiunga humu wakati yeye ndiyo anaanza shule ya msingi.

Sasa najaribu kupima, je natosha humo kwenye ushangazi na kama nakidhi vigezo vya kummudu huyu dogo πŸ˜….

Ili nikamilike kuwa lishangazi la uhakika, inabidi niwe na nini?
 
Mimba yako ya kwanza ulipata mwaka gani kabla ya kujiunga na JF?
 
Sawa, na sisi tumerudi tena.

Lishangazi linatakiwa liwe Limejajaa, mzigo wa kutosha πŸ‘, laini laini, ikiwezekana liwe jeupe jeupe hivi, Smart, Mcorporate fulani hiviii chenji chenji hazimkauki, yeye njaa ndogo ndogo sio issue anachotaka ni kukojozwa πŸ’¦tu.

Unajiona humo Theresa??
 
Umemaliza kila kitu πŸ‘Œ
 
Mkuu ina maana kama ni mnene tu na nyama nyama tutamuitaje? Msaada Please
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…