Leo nimeitwa lishangazi, sijui nifurahie au nisikitike

Leo nimeitwa lishangazi, sijui nifurahie au nisikitike

Sawa, na sisi tumerudi tena.

Lishangazi linatakiwa liwe Limejajaa, mzigo wa kutosha 🍑, laini laini, ikiwezekana liwe jeupe jeupe hivi, Smart, Mcorporate fulani hiviii chenji chenji hazimkauki, yeye njaa ndogo ndogo sio issue anachotaka ni kukojozwa 💦tu.

Unajiona humo Theresa??
..ushamaliza ila hata likiwa jeusi jeusi flani hv nyoroooro sawa tu!
 
Wadau, kuna kijana amenifuata huko DM na kuniita lishangazi kwasababu amesema nimejiunga humu wakati yeye ndiyo anaanza shule ya msingi.

Sasa najaribu kupima, je natosha humo kwenye ushangazi na kama nakidhi vigezo vya kummudu huyu dogo 😅.

Ili nikamilike kuwa lishangazi la uhakika, inabidi niwe na nini?
Lishangazi maana yake uwe umempiga vita na kumshinda adui njaa😁!

Kama bado unaokoteza hela kwa vizinga kwa kujibebisha kwa waume za watu bado wewe sio lishangazi, ni mhalifu tu kama ilivyo kwa waalifu wengine wanaojipanga maeneo ya Mi Casa, Makuburi na buguruni kimboka.
 
Adui njaa nishampiga kitambo now nimechukua sabbatical nipumzike nipelekewe 🔥🔥 na vijana.
 
Back
Top Bottom