Leo nimeitwa lishangazi, sijui nifurahie au nisikitike

Wadau, kuna kijana amenifuata huko DM na kuniita lishangazi kwasababu amesema nimejiunga humu wakati yeye ndiyo anaanza shule ya msingi.

Sasa najaribu kupima, je natosha humo kwenye ushangazi na kama nakidhi vigezo vya kummudu huyu dogo 😅.

Ili nikamilike kuwa lishangazi la uhakika, inabidi niwe na nini?
Hahahaha
 
Una hela? Hauna mume? Ni malaya hujiheshimu? Hauna ustaarabu na Miiko ya kulala na watoto? Be the judge! Wakati huyo Kijana anakuita lishangazi amekupa hizo sifa!
 
Back
Top Bottom