Leo nimeitwa lishangazi, sijui nifurahie au nisikitike

Wadau, kuna kijana amenifuata huko DM na kuniita lishangazi kwasababu amesema nimejiunga humu wakati yeye ndiyo anaanza shule ya msingi.

Sasa najaribu kupima, je natosha humo kwenye ushangazi na kama nakidhi vigezo vya kummudu huyu dogo 😅.

Ili nikamilike kuwa lishangazi la uhakika, inabidi niwe na nini?

ONYO:
Mamoderator, napost kwa mara ya pili, naomba msiunganishe uzi wangu na nyuzi za zamani zilizokufa na zisizoendana na swali langu. ASANTE!
tumejiunga JF wote mwaka 2011 ila unaonekana bado senior member
 
Sawa, na sisi tumerudi tena.

Lishangazi linatakiwa liwe Limejajaa, mzigo wa kutosha 🍑, laini laini, ikiwezekana liwe jeupe jeupe hivi, Smart, Mcorporate fulani hiviii chenji chenji hazimkauki, yeye njaa ndogo ndogo sio issue anachotaka ni kukojozwa 💦tu.

Unajiona humo Theresa??
Mwisho kabisa raha ya lishangazi liwe na UKIMWI

Poor Brain
 
Wadau, kuna kijana amenifuata huko DM na kuniita lishangazi kwasababu amesema nimejiunga humu wakati yeye ndiyo anaanza shule ya msingi.

Sasa najaribu kupima, je natosha humo kwenye ushangazi na kama nakidhi vigezo vya kummudu huyu dogo 😅.

Ili nikamilike kuwa lishangazi la uhakika, inabidi niwe na nini?

ONYO:
Mamoderator, napost kwa mara ya pili, naomba msiunganishe uzi wangu na nyuzi za zamani zilizokufa na zisizoendana na swali langu. ASANTE!
ONYO:
Mamoderator, napost kwa mara ya pili, naomba msiunganishe uzi wangu na nyuzi za zamani zilizokufa na zisizoendana na swali langu. ASANTE!🤣🤣🤣
 
Nothing personal, mamoderator waliniboa kuuficha uzi wangu wakati mimi natafuta majibu ya namna ya kuendelea na huyu kijana.
 
Furahia, sababu mishangazi mna nafasi ya pekee yenu peponi
 
Back
Top Bottom