Leo nimeitwa lishangazi, sijui nifurahie au nisikitike

Leo nimeitwa lishangazi, sijui nifurahie au nisikitike

Ni mimi kwani??? Ni maneno ya wanaopenda mishangazi
Uwongo Hayo maneno ni yako..
Alafu ukisema hilo neno lazima uniweke na mimi as if mimi mishangazi yangu ina ukimwi au mimi napenda mishangazi ya namna hiyo..

Ni siku moja tuu ndo yule mshangazi nilimkuta na vidonge lakini nilienda kupima mbona..
Toka sku ile umeniandama
 
Hallelujah
 
Sawa, na sisi tumerudi tena.

Lishangazi linatakiwa liwe Limejajaa, mzigo wa kutosha 🍑, laini laini, ikiwezekana liwe jeupe jeupe hivi, Smart, Mcorporate fulani hiviii chenji chenji hazimkauki, yeye njaa ndogo ndogo sio issue anachotaka ni kukojozwa 💦tu.

Unajiona humo Theresa??
Bila kusahau liwe na ukimwi
 
Wadau, kuna kijana amenifuata huko DM na kuniita lishangazi kwasababu amesema nimejiunga humu wakati yeye ndiyo anaanza shule ya msingi.

Sasa najaribu kupima, je natosha humo kwenye ushangazi na kama nakidhi vigezo vya kummudu huyu dogo 😅.

Ili nikamilike kuwa lishangazi la uhakika, inabidi niwe na nini?

ONYO:
Mamoderator, napost kwa mara ya pili, naomba msiunganishe uzi wangu na nyuzi za zamani zilizokufa na zisizoendana na swali langu. ASANTE!
Mimi lijiomba tumejiunga mwaka moja.. ila jf niliijua kitambo zaidi.
 
Back
Top Bottom