Leo nimejaribu kubet, sirudii tena

Leo nimejaribu kubet, sirudii tena

Welcome to the winners cycle my friend. Keep going you can't win everyday.. Kama kwenye biashara nyingine hasara ni kawaida tu.
 
Wamekula elfu 10. Yaani nilikuwa nachukua karibu 300k hapa. Ujinga sana huu [emoji28][emoji28]
Kubeti ni zaidi ya kutumia madawa ya kulevya kama bangi, cocaine, n.k. Kama umeacha na uache kweli kama mimi nilikuwa na beti nikaamua kuacha na sitaki kushauriwa maana nimeshafanya maamuzi ambayo yatabaki hivyo maishani mwangu.

Hongera sana kwa kujitambua kuwa unaweza na ukafanya maamuzi sahihi.
Wanaoendelea kubeti ni wajinga mpaka ujinga utakapowaondoka ndipo watakapojitambua.
 
Kwa mara ya kwanza nimejaribu aisee huu mchezo sirudii tena.

Unaona timu kubwa inashinda but wanachokifanya upuuzi kabisa.

PSG mmeniangusha sana. Sitarudia tena.


Kubeti ni sawa na kuvuta Bangi, wapo watu wakianza kuvuta tu wanaapa kwamba hawatarudia tena kuvuta na wapo ambao wakianza tu basi huendelea kuvuta na kuiacha inakuwa ni muhali.
 
Mm tokea jana naugulia Maumivu tu jana Manyuumbu leo PASIGI daaa na siachi apa nachambua za uropa leo ela ya mwindi ni tamuuu sana banaa ukimpigaa uwazi namna ya kuitumia aajaaha
 
Back
Top Bottom