Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Go for goals. Especially over 1.5Kwa mara ya kwanza nimejaribu aisee huu mchezo sirudii tena.
Unaona timu kubwa inashinda but wanachokifanya upuuzi kabisa. PSG mmeniangusha sana. Sitarudia tena.
Don't.. worryAsante
Wewe ndio tayari ushajiunga chamani na huchomokiSijui ndio mara ya kwanza ndugu. Na sitaki kujifunza.
Pole mkuu..mi nimekula ka 50k ka supu na bia mbili tatu kesho . Over 1.5 liverpool....0.5 psg....2.5 city......no gg atletico...Wamekula elfu 10. Yaani nilikuwa nachukua karibu 300k hapa. Ujinga sana huu [emoji28][emoji28]
Kubeti ni zaidi ya kutumia madawa ya kulevya kama bangi, cocaine, n.k. Kama umeacha na uache kweli kama mimi nilikuwa na beti nikaamua kuacha na sitaki kushauriwa maana nimeshafanya maamuzi ambayo yatabaki hivyo maishani mwangu.Wamekula elfu 10. Yaani nilikuwa nachukua karibu 300k hapa. Ujinga sana huu [emoji28][emoji28]
Anahisi kuacha ni rahisi huyo jamaa😅 betting ni kama cocaine!Wewe ndio tayari ushajiunga chamani na huchomoki
Kwa mara ya kwanza nimejaribu aisee huu mchezo sirudii tena.
Unaona timu kubwa inashinda but wanachokifanya upuuzi kabisa.
PSG mmeniangusha sana. Sitarudia tena.
Kuchomoka inawezekana ni jambo la kuamua tu wewe mwenyewe mimi ni miongoni mwa waliochomoka kutoka kuvuta sigara na kubeti pia.Wewe ndio tayari ushajiunga chamani na huchomoki