The redemeer
JF-Expert Member
- Jan 28, 2025
- 4,778
- 8,232
Nimejikuta nakumbuka comrade lucky Philip dube.
Aliwezaje toa vibao vinavyoishi tunaita touching souls sounds.
Ni vibao ukisikiliza unapata kitu
Check kibao kama.
Wale wauaji walaaniwe kabisa.
Lakini huwa mamcomrade huwa hawaishi mda mrefu wanaenda kwenye sayari zingine wakakamilishe mission zingine duniani hapa huwa ni kama wanapikwa tu
.It's not easy
. Remember me
.Slave
.hand that give
. victims
.I've got you baby
. different people
.back to my roots
.nk