Leo nimejiunga rasmi jamiiforums

Leo nimejiunga rasmi jamiiforums

umri wako
Umeolewa
Umepanga
Una bfriend
Umeokoka???
umeajiriwa ama umejiajiri??
Hayamaswali jipange nayo dada watu wa humu 😂


Wengine watakuja inbox hukoo kimbia kabisaaaaaaaqq balaaa ..wala kutaja unakaa wapi no
Siwezi kimbia waje tu na jiswali vyao vitajibiwa hapa hapa
 
1000123431.jpg
 
Back
Top Bottom