Leo nimejiunga rasmi jamiiforums

Leo nimejiunga rasmi jamiiforums

Habari zenu gentlemen & ladies, ikiwa unafurahia kupokea wageni wapya hapa jamiiforums basi naomba unikaribishe kwa kunipa like na nasaha zako, nimekuja kuongeza maarifa hapa.
Je,umejiunga na

Mchezo wa kibati
Kikoba
mikopo binafsi
Mikopo ya kibenki.

Kama hupo katika hizo chati hapo juu Tafadhali Ondoka kwenye hili jukwaa.

Utakuwa unatuchora tu wee wakshua.
 
Back
Top Bottom