Leo nimejiunga rasmi jamiiforums

Leo nimejiunga rasmi jamiiforums

na pia tunatoaaa huduma za kirohoo mama ngoja nifanye sala kidogoo mambaa wasikusumbue maana

Baba katika jina lako Yeau nashukuru kwa member huyu mpya naomba ulpe hekima na akili akaishi ktk kukupendeza wewe na wanadamu

Namfunika na damu ya Yesu popote alipo wasumbufu wotee wasimsogelee pm kama sio kutoa sadaka tu

ninaomba ktk Jina lako

amen

Sadaka ruksa mama ktkt kujenga kanisa la Bwana no utaona PM..

 Kwikwikwi
Ingekuwa heri ungeomba kwa jina la Issa bin Maryam tu mkuu, Yesu unamuingiza katika kazi isiyo yake. Acha matumizi mabaya ya jina Yesu.
 
Mpwaaaaaaaaa unaniharibia unajua niko maombi ya kufunga na kuomba kupata mwenza

Sasa dah...na m mambo ya kumuliza Mungu na mtu ashafika siwezi ntazidi kumkaribisha tu

Tukutane kinyerezi jaman...
Sawa bwashee😅
 
Karibu sana, ni sehemu nzuri sana ya kubadikisha mawazo, kujenga mawazo, kupata maari mapya , kushirikisha kile ulichojaliwa , kukutana na watu wapya na mengi mazuri na yakupendeza, japo changamoto hazita kosekana.
Karibu tena na tena.
 
Habari zenu gentlemen & ladies, ikiwa unafurahia kupokea wageni wapya hapa jamiiforums basi naomba unikaribishe kwa kunipa like na nasaha zako, nimekuja kuongeza maarifa hapa.
Karibu Sana hapa jukwaani
 
Tokea mmiliki wa Telegram akamatwe, mtandao wa telegram umekuwa wa shida sana. Hii ni fursa kwa JF kupata wageni kwa kasi.

Karibu.
 
Back
Top Bottom