Leo nimejiunga rasmi jamiiforums

Ingekuwa heri ungeomba kwa jina la Issa bin Maryam tu mkuu, Yesu unamuingiza katika kazi isiyo yake. Acha matumizi mabaya ya jina Yesu.
 
Mpwaaaaaaaaa unaniharibia unajua niko maombi ya kufunga na kuomba kupata mwenza

Sasa dah...na m mambo ya kumuliza Mungu na mtu ashafika siwezi ntazidi kumkaribisha tu

Tukutane kinyerezi jaman...
Sawa bwashee😅
 
Karibu sana, ni sehemu nzuri sana ya kubadikisha mawazo, kujenga mawazo, kupata maari mapya , kushirikisha kile ulichojaliwa , kukutana na watu wapya na mengi mazuri na yakupendeza, japo changamoto hazita kosekana.
Karibu tena na tena.
 
Habari zenu gentlemen & ladies, ikiwa unafurahia kupokea wageni wapya hapa jamiiforums basi naomba unikaribishe kwa kunipa like na nasaha zako, nimekuja kuongeza maarifa hapa.
Karibu Sana hapa jukwaani
 
Tokea mmiliki wa Telegram akamatwe, mtandao wa telegram umekuwa wa shida sana. Hii ni fursa kwa JF kupata wageni kwa kasi.

Karibu.
 
Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT ufaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…