Bi zandile JF-Expert Member Joined Sep 12, 2024 Posts 301 Reaction score 856 Sep 14, 2024 Thread starter #41 Darkish said: Kwanza tuambie umefuata nini huku maana umbea wa facebook hatutaki. Click to expand... Nilichokifuata huku nimekiandika au hujasoma? Rudia kusoma utaona kilichonileta
Darkish said: Kwanza tuambie umefuata nini huku maana umbea wa facebook hatutaki. Click to expand... Nilichokifuata huku nimekiandika au hujasoma? Rudia kusoma utaona kilichonileta
Bi zandile JF-Expert Member Joined Sep 12, 2024 Posts 301 Reaction score 856 Sep 14, 2024 Thread starter #42 Mr Pixel3a said: Welcome Aunt Click to expand... Thank you uncle
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,248 Reaction score 13,244 Sep 14, 2024 #43 Bi zandile said: Acha kuomba omba namba, ipo siku utapewa namba ila ni za mganga wa kienyeji. Click to expand... Ndiyo itakuwa vizuri...
Bi zandile said: Acha kuomba omba namba, ipo siku utapewa namba ila ni za mganga wa kienyeji. Click to expand... Ndiyo itakuwa vizuri...
Saad30 JF-Expert Member Joined May 26, 2020 Posts 2,737 Reaction score 5,464 Sep 14, 2024 #44 Bi zandile said: Habari zenu gentlemen & ladies, ikiwa unafurahia kupokea wageni wapya hapa jamiiforums basi naomba unikaribishe kwa kunipa like na nasaha zako, nimekuja kuongeza maarifa hapa. Click to expand... Je,umejiunga na Mchezo wa kibati Kikoba mikopo binafsi Mikopo ya kibenki. Kama hupo katika hizo chati hapo juu Tafadhali Ondoka kwenye hili jukwaa. Utakuwa unatuchora tu wee wakshua.
Bi zandile said: Habari zenu gentlemen & ladies, ikiwa unafurahia kupokea wageni wapya hapa jamiiforums basi naomba unikaribishe kwa kunipa like na nasaha zako, nimekuja kuongeza maarifa hapa. Click to expand... Je,umejiunga na Mchezo wa kibati Kikoba mikopo binafsi Mikopo ya kibenki. Kama hupo katika hizo chati hapo juu Tafadhali Ondoka kwenye hili jukwaa. Utakuwa unatuchora tu wee wakshua.
Shadow7 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2020 Posts 24,606 Reaction score 39,289 Sep 14, 2024 #45 Karibu sana mkuu